Baada ya Bunge kuvunjwa CHADEMA kusambaratika

Chadema ukweli nawashangaa Silinde kwa Nini hapewi nafasi kubwa.Yule Ni mwanasheria ukatibu mkuu ungemfaa au unadhimu bungeni .Yuko vizuri kweli.kweli kichwani

Mleta mada uko sahihi chadema bunge likivunjwa tu kinasambaratika.Wabunge na marieani wengi kwa Dada wanasubiri tu kuvunjwa waachane na chadema

Mimi binafsi hata CCM wakitaka kumchukua mtu chadema wa kwanza ningependa wamchukue Silinde

Hii ni hoja ya kila mwaka na cha ajabu kila mwaka wabunge wa chadema wanaongezeka bungeni
 
Vipi Fisadi Kangi limeshatiwa mbaroni ?
Jamaa anatembea na ilani, kwamba tuhuma wanazompa ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM hivyo hana kosa.
 
Ndugu zangu,

Tulionya tukapuuzwa,kipindi cha uchaguzi viongozi wa kanda Mbowe alijitahidi kupachika watu wake ambao si chaguo la wanachama ili kulinda maslahi yake ndani ya chama.Alifanya hivyo kumpachika Esther dhidi ya Heche,Lema dhidi ya Selasini,Mesi dhidi ya Mwambe na akasambaratisha wote waliogombea dhidi ya Msigwa.

Zaidi ya kupachika watu wake kwenye kanda na majimbo pia wafuasi wengi Chadema walitamani Dr.Albanie awe katibu mkuu badala ya Mnyika;Wengi hawajaridhika kwa uteuzi wa Mnyika wanasubiri dakika ifike wabwage manyanga na kutema nyongo zao.

Siku chache zilizopita katibua wabunge wa Chadema bungeni baada ya kumpachika Esther Bulaya unadhimu kambi ya upinzani huku akiwaacha "makamanda" kama Heche,Silinde,nk ambao ni wakongwe.

Tusubiri muda ufike ila naona wakigawana mbao

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnazidi tu kusogeza Mbele tarehe za kifo cha Chadema.Mwenyekiti alisema ikifika 2020 Tanzania upinzani utakuwa umekufa,Leo ni 2020 sijui kama amefauru kuua upinzani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Tulionya tukapuuzwa,kipindi cha uchaguzi viongozi wa kanda Mbowe alijitahidi kupachika watu wake ambao si chaguo la wanachama ili kulinda maslahi yake ndani ya chama.Alifanya hivyo kumpachika Esther dhidi ya Heche,Lema dhidi ya Selasini,Mesi dhidi ya Mwambe na akasambaratisha wote waliogombea dhidi ya Msigwa.

Zaidi ya kupachika watu wake kwenye kanda na majimbo pia wafuasi wengi Chadema walitamani Dr.Albanie awe katibu mkuu badala ya Mnyika;Wengi hawajaridhika kwa uteuzi wa Mnyika wanasubiri dakika ifike wabwage manyanga na kutema nyongo zao.

Siku chache zilizopita katibua wabunge wa Chadema bungeni baada ya kumpachika Esther Bulaya unadhimu kambi ya upinzani huku akiwaacha "makamanda" kama Heche,Silinde,nk ambao ni wakongwe.

Tusubiri muda ufike ila naona wakigawana mbao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili zenu kama viazi hamuwezi hata sambaratisha chauma au tlp,mmejaribu cuf maalimu kawatoa puru yuko act,dada mhudumie mume ndio unachoweza
tapatalk_1579804615718.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeishiwa hoja na hivi sasa its too late. Tangu lini ccm mkawa na ukosoaji positive kwa Chadema?? Nchi kipitia kwa Malaika Mkuu asiyekosea ipo mashakani ninyi bado mnahangaika na Chadema. Uchaguzi kesho kutwa tutakutana majukwaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao wagawane mbao tu, lakini huku chama twawala nako hakutoshi maana Vita vya kuwania upeperushaji wa bendera viliishaanza kitambo!
 
Chadema ukweli nawashangaa Silinde kwa Nini hapewi nafasi kubwa.Yule Ni mwanasheria ukatibu mkuu ungemfaa au unadhimu bungeni .Yuko vizuri kweli.kweli kichwani

Mleta mada uko sahihi chadema bunge likivunjwa tu kinasambaratika.Wabunge na marieani wengi kwa Dada wanasubiri tu kuvunjwa waachane na chadema

Mimi binafsi hata CCM wakitaka kumchukua mtu chadema wa kwanza ningependa wamchukue Silinde

Yeye anawataka?
 
Watakao ondoka ni wale waliokuwa CHADEMA lakini hawakuwa CHADEMA walikuwa wanataka vyeo na maslahi hawakuwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi, wakienda CCM watakuwa wanafuata vyeo na maslahi ambayo yako CCM zaidi kuliko kuwatumiakia wananchi.

Lakini CHADEMA kama CHADEMA wataendelea kuwa CHADEMA, liwe jua iwe mvua wataendelea kuwa CHADEMA kwa kuwa wanatambua nini wanafanya, wenye kuendekeza matumbo yao wataendelea kuhamia CCM kufuata ulaji lakini CHADEMA haitasambaratika kwa kugawana mbao.
 
Kama kigezo cha kutoteuliwa vyeo kingetumika ccm ndo ingesambaratika.
 
Ndugu zangu,

Tulionya tukapuuzwa,kipindi cha uchaguzi viongozi wa kanda Mbowe alijitahidi kupachika watu wake ambao si chaguo la wanachama ili kulinda maslahi yake ndani ya chama.Alifanya hivyo kumpachika Esther dhidi ya Heche,Lema dhidi ya Selasini,Mesi dhidi ya Mwambe na akasambaratisha wote waliogombea dhidi ya Msigwa.

Zaidi ya kupachika watu wake kwenye kanda na majimbo pia wafuasi wengi Chadema walitamani Dr.Albanie awe katibu mkuu badala ya Mnyika;Wengi hawajaridhika kwa uteuzi wa Mnyika wanasubiri dakika ifike wabwage manyanga na kutema nyongo zao.

Siku chache zilizopita katibua wabunge wa Chadema bungeni baada ya kumpachika Esther Bulaya unadhimu kambi ya upinzani huku akiwaacha "makamanda" kama Heche,Silinde,nk ambao ni wakongwe.

Tusubiri muda ufike ila naona wakigawana mbao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mfalme juha alishasema mpaka 2020 Chadema itakua imekufa!
 
Sijui hata kama unajua kwamba, kuna maisha nje ya siasa.

Endelea kumuwaza Mbowe na Chadema maana ccm na "mama yako" na utakwenda nayo kabrini.

Naona Lugola kazikwa na "ilani" ya ccm kama alivyo wahi sema mwenyewe, maana ccm aliiona Mungu wake, akasahau kuna maisha nje ya ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila huyu na post zake za kidaku anaheshimiwa sana na mods, ukipingana naye unakula ban ya kufa mtu, nilimkrashi na mada zake za.kipuuzi nikapigwa ban ya miezi miwili ndiyo nimetoka kifungoni leo na najua kinachofuata ni life ban. Mods wanalea sana nyuzi zinazokaribisha malumbano yasiyokuwa na tija ili mradi ziko in favour of CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu! Kumbe huyu mchepuko wa Madelu Savimbi ndio alikusababishia ban?
Mshamba mno huyo ugawaji wa chama na huwa anachokoza kwa ujinga wake ili watu wahukumiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala usimlaumu.. Hizo teuzi zote zimefanywa Lumumba.. Majina yamepelekwa Ufipa yakiwa kwenye flash kwa ajili ya kutangazwa...
Wote walioteuliwa wamepata baraka za Lumumba.
Hivi vinaitwa vyama rafiki.. Kwa hiyo kupewa asist ni jambo la kawaida.. Wala usishtuke...
Mrema ni mnufaika mmojawapo wa urafiki huu.
John Heche alimvimbia mkuu wa Kaya.. Hata akiwa mzuri kama Malaika, kamwe usitegemee kama atalamba teuzi yoyote ndani na nje ya chama..
Kumbuka, mtoto mkaidi hafaidi...

Mwisho wa ndoto yangu tamu.
 
Back
Top Bottom