Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Ndugu zangu,
Tulionya tukapuuzwa,kipindi cha uchaguzi viongozi wa kanda Mbowe alijitahidi kupachika watu wake ambao si chaguo la wanachama ili kulinda maslahi yake ndani ya chama.Alifanya hivyo kumpachika Esther dhidi ya Heche,Lema dhidi ya Selasini,Mesi dhidi ya Mwambe na akasambaratisha wote waliogombea dhidi ya Msigwa.
Zaidi ya kupachika watu wake kwenye kanda na majimbo pia wafuasi wengi Chadema walitamani Dr.Albanie awe katibu mkuu badala ya Mnyika;Wengi hawajaridhika kwa uteuzi wa Mnyika wanasubiri dakika ifike wabwage manyanga na kutema nyongo zao.
Siku chache zilizopita katibua wabunge wa Chadema bungeni baada ya kumpachika Esther Bulaya unadhimu kambi ya upinzani huku akiwaacha "makamanda" kama Heche,Silinde,nk ambao ni wakongwe.
Tusubiri muda ufike ila naona wakigawana mbao
Sent using Jamii Forums mobile app