Baada ya bomu la Dkt. Bashiru, Rais Samia aanza ziara

Tutaendelea kupiga tu hadi akili ikae sawa. Moto zaidi unakuja. Kama una mahaba nae sana kanywe nae chai babati.
Sijawahi kuwa na mahaba na kiongozi toka chama cha wanafiki mimi. nasimamia ukweli na siabudu watu kama wewe. naabudu taasisi. mama yupo kwa mujibu wa katiba ambayo mlisema ni nzuri sana kwakuwa wananchi wanataka mabarabara.
mnaweweseka nini kama katiba ni nzuri na ndo ilomweka bi mkubwa?
 
Usiwe popoma chawa mkubwa wewe!

Nitajie vijiji 10 alivyoenda Samia
 
Unaabudu vipi taasisi.?
 
Bashiru mnamkuza sana, huyo akiporwa kadi baada ya mwezi mmoja anasahaulika kama Ndugai
Hii ndio CCM, chama dola kinachotumia dola kubaki madarakani
 
Kwa udhaifu huu ulitegemea tulete mahaba tu.?
Pole sana. Sure ana madhaifu mengi, she is not performing to perfection.... lakini hajaua , hajateka, haja bambika kesi, haja pora fedha za watu, hajapoteza watu, hajafunga watu midomo kusema kwa kiasi fulani... ....kama unavyojua! Kwa hilo niko upande wake sana.
 
We mbona hukutekwa, hukubambikiwa kesi, hukuporwa fedha na wala hujapotea?
 
Mbona wiki tatu tu alikuwa Kagera ziarani, alienda Tabora, Mbeya nako huko kulitokana na hilo bomu? Msipende kukuza mambo. Msichonganishe viongozi. 🙏🙏🙏
 
"Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali."

Umepiga kwenye Mshono!
 
Hii ziara mbona imepangwa kitambo, na hata wanamanyara walikuwa na taarifa za kutembelewa na Mkuu wa Nchi!?
Ni wewe tu ndio ulikuwa huna taarifa.
 
Hii ziara mbona imepangwa kitambo, na hata wanamanyara walikuwa na taarifa za kutembelewa na Mkuu wa Nchi!?
Ni wewe tu ndio ulikuwa huna taarifa.
Ila sio kuongozana na mawaziri na kujibu kero. Hii ni baada ya bomu.
 
Sio kwa kipindi hiki. Na ziara imeanza saa sita mchana.
Na wewe ni mjumbe wa kamati kuu hata ukatoa taarifa ya kikao?

Hebu jiambie kitu kimoja; je huyo Raisi kweli anakurupuka nusu saa baada ya kikao na kuanza ziara kama wewe unavyoamua kwenda kilabuni?

Hizo chuki zenu tena tooooooo much!
 
Mbona anatikisika? Why did he sideline akina Lukuvi?
 
Hii ziara mbona imepangwa kitambo, na hata wanamanyara walikuwa na taarifa za kutembelewa na Mkuu wa Nchi!?
Ni wewe tu ndio ulikuwa huna taarifa.
Wanadhani raisi kama mama ntilie anapoamua kwenda sokoni kununua vifaa vya mahitaji yake basi anakurupuka tu.
 
"Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali."

Umepiga kwenye Mshono!
Amenikimbusha Ule " MOSHI" kule Ruangwa!!!
 
Baada ya bomu zito kutoka kwa balozi Dkt. Bashiru kikao cha dharura kimeazimia mama aanze ziara za kujibu hoja mbalimbali.
siyo dharura mkuu, ziara ilikuwepo Kbl ya Bashiru Kutema nyongo, its like coincidence ziara ya Arusha na Manyara zilikuwepo tangu awali ninachojua pamoja namamnbo mengine atakuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa TRAMPA na hivyo it scheduled kwa maana apige ndege wawili kwa jiwe moja!! kufungua mkutuano wa TRAMPA lkn pia kufanya ziara Manyara na Arusha!!
 
Ziara hazitakuwa na manufaa kama wananchi watakatazwa kuwa huru kwenye hiyo mikutano.

Mwananchi anasimama kuongea changamoto zake anakatazwa.
 
Aiseh!

Bas sawa!
 
Unadhani tumekusahau enzi za magufuli? Ulikuwa mkali hapa JF! It seems you were left behind by Samia!
Ila nachoshangaa hata mtu kama wewe umetekwa na Siasa za mtu binafsi? kuna tofauti gani hapa; the same system, different factions. Wewe ndiyo victim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…