Aisee!Baada ya bomu la Dkt. Bashiru mama aanza ziara
Sasa hivi ni kulamba asali tu. Wako bize kutengeneza mtandao wa urais wa 2025. Ndio maana wamechukia kweli baada ya dr Bashiru kupiga bomu kwenye mzinga wa asali. Yaani walijisahau na utamu.Kwa hiyo ccm kwa sasa kinaendeshwa kwa matukio[emoji849]
Wewe ni staunch supporter of magufuli. Utamchukia tu Samia!Baada ya bomu zito kutoka kwa balozi Dkt. Bashiru kikao cha dharura kimeazimia mama aanze ziara za kujibu hoja mbalimbali.
Ameambatana na baadhi ya mawaziri ambao wengine anaamini wataongea kauli za fedheha kwa Dkt. Bashiru lakini baadhi yao wameshtukia mtego kama Bashe.
Lakini ifahamike huu ni wakati wa ukame na jua ni kali mno. Hofu yangu ni kushindana na hoja ya dr Bashiru kwa kumdhurulisha huyu mama juani.
Maumbile yake na umri wake haviruhusu. Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali.
una akili ndogo sana.Baada ya bomu zito kutoka kwa balozi Dkt. Bashiru kikao cha dharura kimeazimia mama aanze ziara za kujibu hoja mbalimbali.
Ameambatana na baadhi ya mawaziri ambao wengine anaamini wataongea kauli za fedheha kwa Dkt. Bashiru lakini baadhi yao wameshtukia mtego kama Bashe.
Lakini ifahamike huu ni wakati wa ukame na jua ni kali mno. Hofu yangu ni kushindana na hoja ya dr Bashiru kwa kumdhurulisha huyu mama juani.
Maumbile yake na umri wake haviruhusu. Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali.
kama nyinyi mlivyojisahau kuwa Magufuli is immortal!...in simple words not subject to death or decay; having perpetual life.Sasa hivi ni kulamba asali tu. Wako bize kutengeneza mtandao wa urais wa 2025. Ndio maana wamechukia kweli baada ya dr Bashiru kupiga bomu kwenye mzinga wa asali. Yaani walijisahau na utamu.
Tutaendelea kupiga tu hadi akili ikae sawa. Moto zaidi unakuja. Kama una mahaba nae sana kanywe nae chai babati.una akili ndogo sana.
unakumbuka matukio yaliyotokea baada ya kubadilishwa sheria ya kikokotoo na kuvurugwa kwa mifuko ya hifadhi za jamii na yule shetani?
unakumbuka matukio yaliyotokea baada ya kuundwa kwa tume ya OSORO?
Raisi kafanya ziara nyingi tena vijijini siyo yule mpuuzi aliyekuwa anapita barabara kuu na kugawa maburungutu ya noti
ziara ya manyara ilipangwa hata kabla ya huyo bashiru kuongea ujuha wake? kama mzalendo kweli
mbona hajawatetea wakulima wa korosho walipoporwa korosho zao na MAGUFULI?
Mbona hajawambia wanafunzi waliokatazwa kufanya siasa anazofundisha yeye wagomee kauli ile ya kifedhuli
KWSHAKUFA HATARUDI TENA, KAMFUKUENI
Unadhani tumekusahau enzi za magufuli? Ulikuwa mkali hapa JF! It seems you were left behind by Samia!Kwa nini?
Mlamba asali mwandamini....una akili ndogo sana.
unakumbuka matukio yaliyotokea baada ya kubadilishwa sheria ya kikokotoo na kuvurugwa kwa mifuko ya hifadhi za jamii na yule shetani?
unakumbuka matukio yaliyotokea baada ya kuundwa kwa tume ya OSORO?
Raisi kafanya ziara nyingi tena vijijini siyo yule mpuuzi aliyekuwa anapita barabara kuu na kugawa maburungutu ya noti
ziara ya manyara ilipangwa hata kabla ya huyo bashiru kuongea ujuha wake? kama mzalendo kweli
mbona hajawatetea wakulima wa korosho walipoporwa korosho zao na MAGUFULI?
Mbona hajawambia wanafunzi waliokatazwa kufanya siasa anazofundisha yeye wagomee kauli ile ya kifedhuli
KWSHAKUFA HATARUDI TENA, KAMFUKUENI
Ndiye mtoa asaliEti malkia wa nyuki😂😂🙌
Baada ya bomu zito kutoka kwa balozi Dkt. Bashiru kikao cha dharura kimeazimia mama aanze ziara za kujibu hoja mbalimbali.
Ameambatana na baadhi ya mawaziri ambao wengine anaamini wataongea kauli za fedheha kwa Dkt. Bashiru lakini baadhi yao wameshtukia mtego kama Bashe.
Lakini ifahamike huu ni wakati wa ukame na jua ni kali mno. Hofu yangu ni kushindana na hoja ya dr Bashiru kwa kumdhurulisha huyu mama juani.
Maumbile yake na umri wake haviruhusu. Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali.
Sio kwa kipindi hiki. Na ziara imeanza saa sita mchana.Ni Ziara za kawaida na kikazi Kama kawaida ya mh Rais kupita na kukutana na watanzania ili kuwasikiliza na kutatua kero za wananchi na siyo Kama unavyotaka kupotosha hapa kwa chuki zako za kitoto,hakuna wa kuweza kumtikisa Rais Samia,hayupo mwenye ubavu huo na Wala hajazaliwa