Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,032
- 13,395
Tehe!!!tehe...teheee...!!!ila kabinti kamezeeka, uso umesinyaa kama ngozi ya goti...
Bora ya mchawi koliko mfitini shangazi pole sana ndo ulimwengu ulivo
Bora ya mchawi koliko mfitini shangazi pole sana ndo ulimwengu ulivo
jamani hebu muacheni apumue, utafikiri akilivua hilo taji mtavaa nyie. kuna mengi ya kupigia kelele nchi hii zaidi ya hilo la miss tz. nani kanunaaaaa??????:A S wink: