BA Economics na MSc Economics

BA Economics na MSc Economics

stars

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2020
Posts
819
Reaction score
1,119
Wandugu tusaidiane kueleweshana kuhusu hili; mtu akisoma economics kwa level ya bachelor, program (au course) inaitwa BA Economics, akienda postgraduate (masters) kwa somo hilohilo, program itaitwa MSc Economics. Kwa nini ibadilike kutoka BA kwenda MSc ilhali somo ni lilelile (Economics)?

Mbona programs zingine hazibadiliki majina toka undergraduate mpaka postgraduate; kwa mfano: BA History itakuwa MA History (sio MSc History), BSc Engineering itakuwa MSc Engineering (sio MA Engineering), etc. Kuna transition (mabadiliko) gani kutoka MA Economics kwenda MSc Economics?
 
Mkuu kumbuka pia kuna MA Economics! Nafikiri hizo ni programme mbili tofauti!
 
Tangu lini uchumi ukawa art, uchumi ni sayansi....
 
IMG_3622.jpg
 
Unachotakiwa kujua kuna kuna B.A in Economics na BSc. In Economics
Pia kuna M.A in Economics na Msc. In Economics
The choice is yours
 
Back
Top Bottom