50 Cent na Ja Rule hawajawahi kuja Bongo. Jay Z hakuja kwa ajili ya Fiesta. Aliletwa na Vodacom kwa shughuli za kijamii. Kina Joe wakachomekea concert.
50 cent alishawahi kuja tena alikujana crew nzima ya G UNIT kwa udhamini wa TIGO kama sikosei mwaka 2008 na alipeform fresh tu mkuu ila aikuwa kwenye Fiesta
nitakuletea VIDEO akiperforme stejini na kundi zima la G UNIT