Azimio la Tabora: Hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe

Azimio la Tabora: Hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe

Chama ni vikao na maamuzi ya pamoja. Haya walikaa lini na kukubaliana na hilo Azimio la Tabora? Au ni mawazo na ndoto za Kiongozi mkuu sana alizo weka FB kisha kugeuka azimio la chama?
Hivi hata wale wachache wenye elimu na hekima kule ACT nao wanakubaliana na mwendo huu? Basi hatari!

Unaponza kufa kisiasa unarudi kwenye mawazo ya karne ya 18 ndicho kinachomkuta ZZK. Hvi kitila naye alibariki au yeye yuko bize kwa Lowassa?
 
Supreme Leader Ayatolaahhh katika ubora wake wa kujikweza
 
Kwenye wadi ya wazazi kuna wahudmu manesi ambao wanaweza kuwa bikra...kukariri ni utumwa

Mkuu kwenye kila habari kuna watakaochukulia positive na wengine negative,
Unajipa vidonda vya tumbo kulazimisha watu wote wawe positive juu ya habari hii.
 
Usariti=Usaliti

Wengi wenu upstairs hampo vizuri.....ni vigumu kuweza kufikiri nje ya box

Wenzio ni maprof, waulize uprof umewasaidia nini, kuiba? Je uprof waliupata ili waibe? Majibu usinipe...
 
ukitangaza ujamaa maana yake hutaki kuingia ikulu maana kuna mikataba mikubwa na wawekezaji wa kimataifa . wanachojua wawekezaji ujamaa wa Tanzania ni kutaifisha chama kimejiwekea maadui wakubwa sana duniani
 
Huyu Zitto nae anabowa.

Jamaa alitufanya masikini wa mwisho duniani kwa hilo azimio lake unataka kuturudisha huko?

Punguani wahed.
 
Last edited by a moderator:
Binafsi naona hotuba tu sioni Azimio lolote, mnaoshabikia tuambieni wameazimia kitu gani.

Sote tunajua moja ya maazimio ya Arusha ni kumilikisha uchumi kwa umma ikiwemo kutaifisha viwanda na mashamba makubwa, sasa wao wameazimia kitu gani je wameweka time frame ya utekelezaji nani atatekeleza na wataanza na kitu gani, au wanafikiri azimio ni sawa na kusoma hotuba.
 
Ukiwa na uwezo kiasi hiki basi huwezi kuwa msaliti ndani ya chama chako ambacho kilikuamini pamoja na kuwa na umri mdogo na kukupa nafasi ya juu ya uongozi ndani ya chama, huwezi kufanya umimi wa hali ya juu na kusababisha mmomonyoko wa mshikamano ndani ya chama. Pale unapokosea utakubali makosa yako na kutubu na kisha kuomba nafasi nyingine ya kuonyesha kwamba umejirekebisha badala ya kuunda chama kipya kisirisiri huku ukiwa bado mwanachama wa chama. Huwezi kuja JF kuanzisha thread ya kuwaomba radhi wanachama wa chama chako kwa matendo yako halafu unapoulizwa ni matendo yepi uliyoyafanya yamekufanya uombe radhi unang'aa macho na baadaye kushinikiza uzi wako uliouanzisha wa kuomba radhi ufutwe. Hajitambui huyu.

Tutaongea yote, lakini mwisho wa siku hakuna mwanasiasa mwenye uwezo kama wa Zitto Tz hii...
 
Back
Top Bottom