Azimio la Tabora: Hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe

Azimio la Tabora: Hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe

Mbona kuna watu wanazito-phobia za hali ya juu na kukurupuka na kutuhumu tu mandhali waseme. Mtu hajasoma wala kufwatilia lakini tayari anatuhumu tu. They are qualified to be ''great haters''
Haters gonna hate mkuuu....But ukweli unabakia pale pale hakuna mwanasiasa mwenye akili nzuri kama Zitto Tanzania hii
 
ina maana zitto anataka taifa letu liwe la kijamaa ama.. na haya maamuzi ni ya chama ama zitto binafsi?
 
ina maana zitto anataka taifa letu liwe la kijamaa ama.. na haya maamuzi ni ya chama ama zitto binafsi?

Maamuzi ni ya chama.......
Ujamaa wa kidemokrasia
..ingia hapa (act.org.tz) kama unapenda kusoma juu ya azimio la tabora kwa undani na juu ya ujamaa wa kidemokrasia
 
Zitto yupo vizuri kichwani kuliko mwanasiasa yeyote tanzania hii. Anayepinga ajitokeze with reasons...

Huyu kaishiwa. ujamaa ulifail siku nyingi.
Hata China ukiangalia mfumo wao hauko kwenye ujamaa tena. Cuba, juzi wamerudisha mahusiano yao na Marekani. Hakuna anayekumbatia sera za ujamaa kwa sasa akaendelea. Ujamaa hauwezi kusimama dunia ya leo ya utandawazi.

Mfano mdogo tu angalia nchi kama yetu iliyofuata mfumo wa ujamaa baada ya uhuru compare na Kenya kiuchumi.
Kumbuka kipindi hicho hakikuwa cha utandawazi, leo hii uongee ujamaa karne ya 21 eti unaweza kuinua uchumi.
Akae chini atafakari upya.
 
Maamuzi ni ya chama.......
Ujamaa wa kidemokrasia
..ingia hapa (act.org.tz) kama unapenda kusoma juu ya azimio la tabora kwa undani na juu ya ujamaa wa kidemokrasia

mkuu ngoja niingie nichungulie kisha nitarudi.
 
Yupo vizuri kichwani mkuuu...But but but kuna jamaa flani hawakubali hilo. Wao bora wawe na watu kama Lema,Sugu, Msigwa, Mbowe and the likes but not with the ubongozz kama wa Zitto

Ni watu wa upande wa siasa fulani
 
Yupo vizuri kichwani mkuuu...But but but kuna jamaa flani hawakubali hilo. Wao bora wawe na watu kama Lema,Sugu, Msigwa, Mbowe and the likes but not with the ubongozz kama wa Zitto

mkuu si kweli kwamba zitto ni mwanasiasa pekee mwenye akili kamwe.kuna wengi tu kama kina january,kigwangalah,mdee nawengineo..
 
Wanasiasa wote ni watu wa kuropokwa na kuzungumza kile wafuasi wanachotaka kukisikia lakini huyu jamaa namkubali projo zake afadhali zinaleta mwamko ukilinganisha na porojo za wanasiasa wengine...
 
Amechanganyikiwa!! Kama Mwalimu alivyotabiri kuwa kulizungumia Azimio la Arusha ni lazima uwe umechanganyikiwa!!! Pole kaka. Kutafuta umaarufu siyo kazi, kazi kuufanya uwe endelevu. Nakuombea Mola akupumzishe kwa amani.
 
Tutaongea yote, lakini mwisho wa siku hakuna mwanasiasa mwenye uwezo kama wa Zitto Tz hii...
 
Back
Top Bottom