Azimio la Tabora: Hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe

Azimio la Tabora: Hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe

Kuna watu humu ni shake well before use.

Mnapiga kelele CCM ikigawa ardhi yenu, ikimilikisha wageni viwanda na njia kuu za uchumi. Akija mwanasiasa msiyempenda akipendekeza mitigation measures mnahamaki. Sasa si mchague moja ijulikane?

Kimantiki kama hutaki wafanyabiashara wasipewe kipaumbele, kama bwana Lowasa anavyotaka basi huna budi kukubaliana na zito anayetaka kipaumbele kiwe wakulima na wafanyakazi.

Kinyume na hapo una matatizo ya ubongo.

Tulipofikia watanzania huwezi sema unachukia ujamaa halafu unalalamika serikali ukosefu wa viwanda n.k,kwenye ubepari kazi ya serikali ni kupigia matajiri magoti kujenga viwanda, wakigoma kuvijenga inakuwa hasara kwenu.

Kuna wehu nimeona wanalalamika expatriates kulipwa zaidi, wanasahau kuwa viwanda sio vya kwao, na kwenye ubepari mlipa mshahara anaamua yeye alipe kiasi gani as long as havunji sheria.

Kama mnachukia sera za kumilikoi njia kuu za uchumi msipige kelele wageni wakizimiliki.

Maneno mazito sana haya.

Kweli maajabu hayana mwisho.

Eti..

Wanataka elimu bure

Wanataka huduma za afya bure

Wanataka serikali ipunguze gharama za mitandao

Wanataja serikali ipunguze nauli za magari

Wanataka serikali ipunguze gharama za mafuta

Wanataka serikali ipungize bei ya umeme

Wanataka serikali iwape mikopo

Wanataka serikali inunue mazao yao

Wanataka serikali iwatoe kwenye umaskini wao

Wanataka serikali ifanye;ifanye na hiki, ifanye na kile kwenye maisha yao binafsi.

Ajabu eti wanasema hawataki ujamaa wanataka ubepari, ubepari gani huu wa serikali kuwa kila kitu??
Bila kujijua kwa matendo na maneno yao wanachotaka ni ujamaa.
 
Mbona kuna watu wanazito-phobia za hali ya juu na kukurupuka na kutuhumu tu mandhali waseme. Mtu hajasoma wala kufwatilia lakini tayari anatuhumu tu. They are qualified to be ''great haters''

Sijui nani anawadanganya kina Zito. We cannot become truly socialist before we become truly capitalist. Sasa mnakuwa wajamaa mgawane nini kwa usawa? Mgawane umaskini? Wabobezi wanatuambia the genious of socialism is distribution wgereas the genious of capitalism is production. Unaproduce kwanza ndio unadistribute with equity. Hivyo basi kwa Tanzania ujamaa hauna tija yoyote. Tunachohitaji kwa sasa watz na nchi maskini ni ubepari wenye utu. "Capitalism with a hunman face!" ubepar nkwa nchi zetu cmaskini ubnatakiwa uwe regulated tu basi. Kosa tulilofanya ni kuruhusu sojo huria holela. ubepari wa ulaya hauwezu kutumika Africa. Tunahitaji Afrucan cspitalism.. Otherwuse hii concept ya ujamaa kwanza ina ukakasi kwa sababu ya wawekezaji kunyanganywa mali zao. Ndio maana mpska leo wawekezaji wakitakaa kuja Tz wanayliza mambo yenu ya ujamaa mmeachana nayo?
 
Ujamaa,nenda kaishi North Korea,timing imempiga chenga ZITTO, nani umrudishe zama za giza,hata China,Russia wanajitahidi kusahau huo msamiati wewe ndo unasema azimio laTabora,ati unahuisha azimio la CCM,kwani wenye azimio hawapo au ndo wamakutuma,tafuta plan B,hii imeshindwa kabla ya kuanza
 
Kwa kusoma History namsifu, lakini mambo si yale ya miaka ya 58, miaka ya 58 wazee wetu walikuwa wakitafutiwa wake na Wazazi wao. Siku hizi unapata Mke Facebook, Twitter nk. Anataka kutupeleka huko? Hivi Zitto anataka kuwaambia Tanzania hii ya sasa mtu unaweza kupika Makande na ukaalika mtaa mzima watu kuja kulima kwake ma kula Makande tu? Asikarili mahisha
 
Nyie BAVICHA hata siku ZITTO akichukua ilani ya CHADEMA word for word akaiweka kwenye hotuba yake mtaishia kumtukana. kwani kabla hamjasoma kilichoandikwa mmeshaandaa set of curse words kwa kuwa tu vimetoka kwa zitto.

Mnatia aibu.

Kutwa mnalalamika humu ajira hakuna,mnaomba wanasiasa waahidi ajira, wataahidi vipi ajira wakati kazi ya kutengeneza ajira sio ya kwao in principle?

Kama hamtaki sera za nchi kumiliki njia kuu za uchumi msipige makele wageni wakija na kuzimiliki, msilete kejeli shilingi yenu ikiporomoka thamani, na wageni wakilipwa kuliko nyie. Hayo ni matunda ya UBEPARI.
 
Wewe mbona haujaweka reason umeleta mahaba tu. Acha wehu, Hutu ni mtu hatari sana. Subili utajionea punde.
 
Kwenye wadi ya wazazi kuna wahudmu manesi ambao wanaweza kuwa bikra...kukariri ni utumwa

kwa hiyo ukubaliani na msemo usemao samaki mmoja akioza wameoza wote, kwa maoni yako utasema kuna wengine wazima,na unategemea kama ni swali umeuliswa utapata?
 
Act wamekuja kwa mtazamo wa tofauti na kumaanisha kile wanachokihubiri kwenye mikutano yao,shime watanzania tuwaunge mkono ili kurudisha nchi kwenye misingi yake.
 
kwa hiyo ukubaliani na msemo usemao samaki mmoja akioza wameoza wote, kwa maoni yako utasema kuna wengine wazima,na unategemea kama ni swali umeuliswa utapata?

Umeuliswa=Umeulizwa

Naamini nna argue na monduli
 
Nyie BAVICHA hata siku ZITTO akichukua ilani ya CHADEMA word for word akaiweka kwenye hotuba yake mtaishia kumtukana. kwani kabla hamjasoma kilichoandikwa mmeshaandaa set of curse words kwa kuwa tu vimetoka kwa zitto.

Mnatia aibu.

Kutwa mnalalamika humu ajira hakuna,mnaomba wanasiasa waahidi ajira, wataahidi vipi ajira wakati kazi ya kutengeneza ajira sio ya kwao in principle?

Kama hamtaki sera za nchi kumiliki njia kuu za uchumi msipige makele wageni wakija na kuzimiliki, msilete kejeli shilingi yenu ikiporomoka thamani, na wageni wakilipwa kuliko nyie. Hayo ni matunda ya UBEPARI.
Teh teh teh teh.
 
Teh teh teh

mkuu kimweri huwa wanifurahisha Sana!!

wajifanya hujadili siasa wala si mwanasiasa lkn umefeli kabisa kujificha ili usionekane mwanasiasa!!!

Daima umekuwa active Sanaa kwenye ishu yoyote imhusuyo zitto why??

cc Nicholas
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom