Kuna watu humu ni shake well before use.
Mnapiga kelele CCM ikigawa ardhi yenu, ikimilikisha wageni viwanda na njia kuu za uchumi. Akija mwanasiasa msiyempenda akipendekeza mitigation measures mnahamaki. Sasa si mchague moja ijulikane?
Kimantiki kama hutaki wafanyabiashara wasipewe kipaumbele, kama bwana Lowasa anavyotaka basi huna budi kukubaliana na zito anayetaka kipaumbele kiwe wakulima na wafanyakazi.
Kinyume na hapo una matatizo ya ubongo.
Tulipofikia watanzania huwezi sema unachukia ujamaa halafu unalalamika serikali ukosefu wa viwanda n.k,kwenye ubepari kazi ya serikali ni kupigia matajiri magoti kujenga viwanda, wakigoma kuvijenga inakuwa hasara kwenu.
Kuna wehu nimeona wanalalamika expatriates kulipwa zaidi, wanasahau kuwa viwanda sio vya kwao, na kwenye ubepari mlipa mshahara anaamua yeye alipe kiasi gani as long as havunji sheria.
Kama mnachukia sera za kumilikoi njia kuu za uchumi msipige kelele wageni wakizimiliki.