"Mkuu
Acha kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia, hii aihusuiani chochote na tamaduni wala ways of doing things kwenye jamii, kwa maana hiyo aingiliani na mwenendo wa maisha ya watu in general (depending on the understanding of the era) hila they can be challenged through evolved moral values and understanding of that particular society at the time.
Demokrasia imejikita katika uhusiano wa involment ya wengi kwenye siasa. ........."
(QOUTE)
Siasa isiyo na mantiki katika NYAKATI za watu na mazingira haiwezi kuwa na tija. Siasa ni lazima izingatie maadili, mifumo, falsafa, imani, itikadi, mitazamo, nk. Kwetu waafrika msingi mkuu wa mambo hayo ni UTU. Ni unafiki na usaliti mkubwa kushadadia siasa ikiukayo values zetu, kisa mzungu kasema ndio usasa!
Unajua demokrasia ya ancient Greece, ilikuw ni Direct, mazingira yao yaliruhusu. Mabepari wa leo wakaja na ya kwao makusudi, Representative(indirect), kwa ancient Greece, hii sio demokrasia.
Si tumeshuhudia 2010 , watu wakiomba kupiga kura kwa Nyerere, democracy inasema HAKI. Je, si hao wajazao wabunge zero brain bungeni na raisi wao ikulu? Huko sio kufeli kwa siasa hiyo, na kudunisha maendeleo? Huo ndio ubepari mnaoutaka!
Tanzania haikuwa kama Urusi au China, ndio maana Nyerere alikuj na AA, ambalo ni zao la mazingira na nyakati zetu halisi "African Socialism", kibaya kipi?
Tulishazikwa hai kwa ukaidi na usaliti wetu, tusiache iwe kwa watoto wetu!
Mungu wetu anaita!
Not entirely left but the policies are based on central left (because of Tony Blair and the Germany approach), central ( the core of capitalism) and central right (because of Margret Thatcher), haya yote yametokana na balancing na ufahamu wa jamii zao hili ziendelee. Kuna challenges nyingi sisi hatujafikia central of the spectrum yet (May be left central of the spectrum) lakini si kwa ideologies kama za A.A. Mimi tena kesho.
"Mkuu
Acha kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia, hii aihusuiani chochote na tamaduni wala ways of doing things kwenye jamii, kwa maana hiyo aingiliani na mwenendo wa maisha ya watu in general (depending on the understanding of the era) hila they can be challenged through evolved moral values and understanding of that particular society at the time.
Demokrasia imejikita katika uhusiano wa involment ya wengi kwenye siasa. ........."
Siasa isiyo na mantiki katika NYAKATI za watu na mazingira haiwezi kuwa na tija. Siasa ni lazima izingatie maadili, mifumo, falsafa, imani, itikadi, mitazamo, nk. Kwetu waafrika msingi mkuu wa mambo hayo ni UTU. Ni unafiki na usaliti mkubwa kushadadia siasa ikiukayo values zetu, kisa mzungu kasema ndio usasa!
Unajua demokrasia ya ancient Greece, ilikuw ni Direct, mazingira yao yaliruhusu. Mabepari wa leo wakaja na ya kwao makusudi, Representative(indirect), kwa ancient Greece, hii sio demokrasia.
Si tumeshuhudia 2010 , watu wakiomba kupiga kura kwa Nyerere, democracy inasema HAKI. Je, si hao wajazao wabunge zero brain bungeni na raisi wao ikulu? Huko sio kufeli kwa siasa hiyo, na kudunisha maendeleo? Huo ndio ubepari mnaoutaka!
Tanzania haikuwa kama Urusi au China, ndio maana Nyerere alikuj na AA, ambalo ni zao la mazingira na nyakati zetu halisi "African Socialism", kibaya kipi?
Tulishazikwa hai kwa ukaidi na usaliti wetu, tusiache iwe kwa watoto wetu!
Mungu wetu anaita!
...I bet he was not a good listener, when it came to those issues. I mean he was not supposed to be good in those. All he needed was to listen to his advisers.
Nia ilikuwa nzuri lakini wrong timing to wrong people
AA ndio inafanya leo hii mawaziri wasiende jela...AA limejenga utamaduni huo...maana kama ingekuwa kwenda prison, asingebaki waziri, wakurugenzi, makamishna........it has been culture to leave criminals leaders free!!
watu wanaogopa kuwashtaki akina mkapa, lowassa, chenge, n.k simply kwa sababu tangu enzi hizo si kawaida kuwashtaki na kuwafunga viongozi
ninachosema ni kuwa msingi wa taifa ili ulitakiwa uwe kwenye sheria!! tungejengwa hivyo viongozi leo wasingekuwa na guts za kuiba hivi........AA liliweka msingi huu wa kuwaona viongozi malaika (always innocent)
Leaders should be governed by rules and laws.....not preaching and beliefs as AA!!
Ndio leo watu wanalia mwinyi, mkapa na kikwete kufanya biashara ikulu!! hawa wanatakiwa kubanwa na sheria na kuchukuliwa hatua!!
Nyerere alivyojiona yeye ni muadilifu akafikiri wote wako kama yeye au wawe kama yeye...is impossible and
that was his failure
washauri gani na wakati ho wasomi wenyewe walikuwa wakuhesabu. if at ll they were many at leat we could have something to say on this.
Alright Waberoya.
Naomba niwaulize swali wewe na W. J. Malecela. Hivi sheria uandaliwa na kutungwa ili ku-enforce mambo gani? Je, utungwa ku-enforce abstract things?
Mimi naelewa kwamba, sheria utungwa katika kuweza ku-enforce misingi fulani (statements, directives na objectives) iliyoainishwa katika sera fulani. Kwa mfano, sheria ya mazingira ya mwaka 2004 ipo katika kuweza kuhakikisha sera ya mazingira ya mwaka 1997 inatekelezeka na directives zake kuwa enforced. Vivyo hivyo kwa sheria mbalimbali hapa nchini, naelewa utaratibu ndiyo huo. Na mara nyingi, sera zisizokuwa na sheria ndizo zenye matatizo hapa nchini katika utekelezaji wake. Kwa mfano hii nyimbo ya Kilimo Kwanza, kwa jinsi ilivyo sasa hata iweje haiwezi kutekelezeka; mpaka pale patakapotungwa sheria ya ku-enforce yake yaliyoainishwa katika sera hiyo, ndipo sera yaweza kutekelezwa kwa mafanikio. Hivyo sera uandaliwa na kutoa directives na statements za namna gani ya kufanikisha malengo ya sera husika, lakini ili kuhakikisha malengo hayo yanafikiwa, sheria utungwa kwa ajili ya ku-enforce statements na directives husika (ambapo taratibu uwekwa {kupitia charges, penalties, fines, imprisonment} in-case directives na statements hazitekelezwi kama ilivyoainisha); kisha sheria yaweza kuwa supported na regulations ambazo utoa miongozo na taratibu za ku-enforce sheria husika.
Sasa nikirudi katika suala la Azimio la Arusha, ni vyema Waberoya umekiri kwamba azimio lilikuwa lina NIA nzuri. Hata W. J. Malecela awali alisema kwamba azimio lilikuwa lina mambo mazuri ya kusoma, pengine yasiyotekelezeka, vyema pia. Sasa kama nyote mmeweza kukiri NIA nzuri ya azimio, na mmesema wazi kwamba lilikuwa halina meno ya kulitekeleza, kwani sheria pekee ndiyo inaweza kufanya hivyo, je, hamwoni ni wasaa muafaka wa kuwa na mjadala wa namna gani tunaweza kutumia misingi mizuri ya azimio (iliyo relevant na today's context) katika kuweza kuandaa na kutunga sheria ambazo zitaweza - by default - kupelekea utekelezaji wa azimio?!
Tunaweza kutumia misingi ya azimio (kama masuala la kupinga unyonyaji, uwajibikaji wa viongozi na watumishi wa umma {kupitia miiko ya uongozi}, kujitegemea na suala la siasa na uongozi bora) katika kuandaa na kutunga sheria zitakazo enforce masuala hayo. Sheria itakayoweka bayana nini kitafanyika endapo kiongozi/mtumishi wa umma akienda kiyume na miiko husika, taratibu a, b, c, n.k. zitachukuliwa dhidi yake; sheria itakayoweka bayana namna ya kuiwajibisha serikali inayoshindwa kukusanya kodi kwa ajili ya maendeleo ya dola na taifa nzima - kwa vile suala la kujitegemea katika azimio lilijikita katika kupanua uwigo wa ukusanyaji wa kodi, sasa tunaona serikali inavyoshindwa kila wakati kuongeza uwigo wa mapato kupitia kodi - huku ikitoa msamaha mkubwa sana wa kodi. Sasa kwa msingi huo, azimio linatupa msingi mzuri wa kuandaa sheria itakayoweza kutoa taratibu za nini cha kufanya endapo serikali itashindwa kukusanya kodi kwa ajili ya kulifanya dola lisiwe tegemezi.
Naamini nia yetu sote ni kuona taifa letu linasonga mbele pamoja na watu wake- sio linasonga mbele na viongozi wake tu. Sasa ndugu Waberoya na Willie, tukiuweka mjadala katika misingi hiyo, ninaamini tunaweza pata hitimisho litakalokuwa na manufaa kwa taifa letu kwa ujumla. Otherwise, mjadala ukiendelea kama ulivyo, hakika hatuwezi kufika mwisho - tutabaki katika kuponda na kupinga azimio bila ya kuleta wayforward (hapa msije na azimio lenu la Zanzibar a.k.a ubepari uchwara - kwani hadi sasa hamjaonyesha mafanikio yake halisi).
What do you mean by top?Sir,
I didn't ask any university. I have asked top 10. Anyway number 3 tells the story why people have to learn AA.
What do you mean by top?
MBONA UNAPENDA UBISHI WA KITOTO?
AD is a philosophical document, you don't think so?
Zakumi. I didn't say we should have a new declaration. Basing on what Waberoya and William were arguing - about the lack of legal capacity/power of the Arusha Declaration - I am proposing for a discussion on how we should make use of the relevant statements and directives from the declaration in developing and enacting legislation and regulations that will - by default - enforce the Arusha declaration.Nzi,
Tell me why should we use AA as a baseline to start a new declaration? If you want one, we have a rich history, and that should serve us well.
Let me assume that you are correct. Nyerere entitled to take some actions on our behalves because he was leading the nation of illiterates and semi-illiterates. My question is: Should Azimio la Arusha have been a temporary or permanent solution?
Your post implies that it should have been a temporary solution because the country evolves. New people with better education than Nyerere are graduating each year and they should have a chance to decide their own future.
Additionally, you have just proved that colonists were right to decide the fate of our lives because they were educated, and they were entitled, just like Nyerere, to take tough decision on our behalves. Please correct me if I am wrong.
Why do you equate wasomi with advisers?
Nyerere's collection of essays on Ujamaa might at least qualify as a philosophical quest. But AD doesn't.
Mkuu unajua naona kuna kitu cha ajabu sana kinaendelea. Ni kama kuna deliberate efforts za kumdiscredit Nyerere. Kila mtu anafahamu kuwa Nyerere was no saint, alikuwa na weaknesses nyingi tu kama binadamu. Hata elimu yake yenyewe ilikuwa ya kiushikaji, hata base aliyokuwa nayo ya kuchagua watu wa kumsaidia kazi ilikuwa imechoka, hakukuwa na watu wenye elimu ya maana zaidi ya ile ya kufuta ujinga.
Lakini aliona kuwa kuwa kiongozi ni lazima uwe na maadili na ni lazima ujue miiko ya uongozi. Ukiangalia sasa CCM haina miiko, na viongozi ndio kabisa hawana miiko. Hata kama ipo kama wanavyodai, ipo kwenye makaratasi tu, kivitendo ni kama uwanja wa fisi. Angalia nchi ya Kikomunisti Koreka kaskazini jinsi inavyofuata miiko ya uongozi, angalaia Marekani nchi ya kibepari inavyofuata miiko ya uongozi, so miiko iko kila upande, why not here in Tanzania?
Sio siri kuwa azimio lilikuwa na upungufu wake, la kufanya ilitakiwa tuondoe mabaya tuimarishe mazuri. Sio kama tunachofanya sasa na Azimio la Zanzibar, sasa kila kitu ovyo. Idara na taasisi zote za nchi hazifanyi kazi kutokana na kuwa hazifuati miiko na wanaoziongoza na wafanyakazi wake pia hawafuati miiko. We do not change this, we will keep on being fcuked.
Hakuna personals hapa.....nimejaribu kuonyesha ni jinsi gani unavyoji-contradict kwenye hoja zako.......kiasi kwamba inatia shaka hata hoja ulioileta kama unaielewa........endapo kitu simple sana unaki-contradict.............sorry! we will always try to put record straight.........
- Mimi ndiye mleta mada, ninasema hivi ninamuangalia Mwalimu on his policies sio yeye kama binadam, na ninasema hivi Azimio was a failure na ndilo limetufikisha hapa Wa-Tanzania, hatujui tulikotoka!
- Tatizo sio Mwalimu as a human being, tatizo ni policy yake ya Azimio la Arusha, it was not real it was a fake policy ndio maana ilibidi ife!
William.
Nadhani sasa naelewa wapi tunapokosana ktk mtazamoa.. Mkuu wangu Azimo la Arusha sio Policy ila kuazimia, ni NIA ambayo itazama historia ya watu wake kisha ndio zinaundwa policy na sheria ambazo wewe, mimi na watu wengine hatukuzipenda baadhi yake. Hivyo hata sisi yapo mambo ambayo yalipitishwa ili kutekeleza siasa za Ujamaa na Kujitegemea ambazo hatukuzipenda lakini haina maana Azimio lenyewe ndilo lilikuwa kosa.- Mimi ndiye mleta mada, ninasema hivi ninamuangalia Mwalimu on his policies sio yeye kama binadam, na ninasema hivi Azimio was a failure na ndilo limetufikisha hapa Wa-Tanzania, hatujui tulikotoka!
- Tatizo sio Mwalimu as a human being, tatizo ni policy yake ya Azimio la Arusha, it was not real it was a fake policy ndio maana ilibidi ife!
William.