I didn't choose to ignore it. But I didn't like your choice of examples. I think Hilter and Gadhafi shouldn't be in this debate.
My brother please. Land ownership is not a Universal human right, here in Canada we only hold land permit from the sovereign monarch. as to say Wananchi ni wapangaji tu. The land permit signify agreement between land owner and the crown, not between land owner rights to own the land. As to Tanzania, it's the government who owns the land we are just tenants.
tuna demokrasia yenye ugonjwa ambao kila mmoja wetu/vyama vyetu a/vinaufumbia macho...........i mean kwa demokrasia tuliyonayo.......kila atakayeingia madarakani atalia "faulo" kwa mwenzake.........
mada nyingi za bwana william huwa hazina mwisho,yaani ni duara nikimaanisha mtakuwa mnakwenda na kuzunguka na kurudia rudia kile mlichokisema mwanzo
na yeye atasisitiza na majibu yake ya AZIMIO LA ARUSHA HALIKUWA NA TIJA x1000000
kwake yeye hakuna hata mahala penye unafuu hususani AZIMIO LA ARUSHA
na bado william ana amini kuwa hata ufisadi wa leo,kutokuwajibika kwa viongozi,kujilimbikizia mali yote hayo ni zao la AZIMIO LA ARUSHA
Migomo ya wanafunzi,madaktari,mauaji migodini,mirahaba midogo na mikataba feki mogodini bado kaka yangu William anaona ni kosa la AZIMIO LA ARUSHA
gape la wenye nacho na wasionacho,matatizo ya umeme,maji na madawa hosptalini,kudolola kwa uchumi yote hayo yanamfanya william Kulichukia AZIMIO LA ARUSHA
kuuzwa kwa nyumba za serikali zilizojengwa kwa AZIMIO LA ARUSHA, baadhi ya njia za reli kuto kufanya kazi,viwanda kufa,msongamano wa magari na watu DSM kaka William anatupa lawama kwa AZIMIO LA ARUSHA
sijui na bado siamini kama kweli william malecela anaelewa vyema AZIMIO LA ARUSHA kwa nini lilianzishwa,malengo na majukumu ya azimio la arusha
sijaona hata sehemu ambapo william ametueleza faida ya AZIMIO LA ZANZIBAR labda hajui kama lipo na linafanya kazi,ama malengo ya AZIMIO LA ZANZIBAR yanamfurahisha ndio maana haliongelei wala hataki kuligusa
lakini kiukweli AZIMIO LA ARUSHA limefanya makubwa sana ukifananisha na AZIMIO LA ZANZIBAR lililokuja na meno ya kuila nchi na wanyonge kupata tabu kama watumwa ndani ya nchi yao
- Azimio lilikufa natural death ..............William.
DEAD WRONG!.........watu (wachoyo and/or wabinafsi) walienda zao Zanzibar wakakaa kwa makusudio yao kabisa na wakaliua Azimio la Arusha..............
- Waliua Azimio kwa sababu lilikuwa unproductive kwa taifa, na nido watu wenye akili wanavyofanya, kama Azimio ni unproductive mnaliua na kuanza upya na idea zingine, lakini huwezi kurudi kulilia the same ideas zilizoshindwa na kudai zikisomwa vizuri zinatekelezeka, hapana!
William.
Zakumi,That's my point. Kila siku wanasiasa na wanazuoni wakitaka umaarufu wa haraka haraka, nyimbo ni kuwasaidia wakulima. Idadi ya watu imeongezeka na eneo la nchi ni lilelile. Hivyo kuna limitations of what we can do with our land.
...Sidhani. Wamepoteza nyingi. Cuba inawezasema imetumia fedha nyingi kwenye hilo eneo.TANU na CCM kwa miaka mingi inatumia pesa nyingi katika huduma za jamii ambazo hazikuzi sekta zingine. Umefika wakati we have to think about that and change.
Copy and paste is your idea. What Eric insists are the values of democracy, which give people the right to choose their own system of government and the people who run it.
You wouldn't copy anybody's system of democracy if you allow Tanzanians to practice their own rights.
I agree with about that. But it's our responsibility to correct that. Nobody calls you stupid without your permission.
...I bet he was not a good listener, when it came to those issues. I mean he was not supposed to be good in those. All he needed was to listen to his advisers.Let me put this way. Nyerere wasn't good in economics and finance.
A Declaration is simply put as a "statement of intent".- How about the results of Azimio to compare with those Declarations that got their kick from Azimio as of you?
William.
Agreed on values of demokrasia in principle....however, Valueas za demokrasia hazina budi kuenda sambamba na values za mahitaji yetu yanayosimamiwa na misingi ya maadili na yenye haki.......results za demokrasia zi-reflect hili......hizi demokrasia za kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ndio zinazotu-cost nchi nyingi so called third world..........
Ni upuuzi kupongeza/kukenulia meno values za demokrasia za ku-copy eti kwa sababu tu kuna "mijibwa koko" imeingizwa bungeni kwa wingi...........
Values za Demokrasia tunazohitaji sio zile za ku-take advantage ya ujinga wa wananchi.........values za demokrasia ya kweli ni lazima iendane pia kwa umma kuwa na elimu, afya na mahitaji mengine muhimu kwa wananchi...........
Kama Taifa tukiwa na Maazimio yenye misingi inayokubalika (kama Azimio la Arusha kipindi kile) Kitaifa kwa faida ya wote.........then leta maneno ya demokrasia inayoenda sambamba na hayo maazimio...........
What type of declaration, maana the hata katiba ya marekani, ujerumani na ufaransa zimetokana na declarations na sheria za nchi aziwezi tungwa nje ya katiba.A Declaration is simply put as a "statement of intent".
As in, what do you intend to do au what type of a nation do u intend to build. It affects the constitution and as you already know, the constitution affects the Laws.
To you!!!Unlike Azimio la AA ambalo ni pumba tupu lenye kudidimiza haki za ubinadamu na eti tuliweke kwenye mchakato wa katiba pheew.
A Declaration is simply put as a "statement of intent".
As in, what do you intend to do au what type of a nation do u intend to build. It affects the constitution and as you already know, the constitution affects the Laws.
To you!!!
AA is being studied up till now in so many higher institutions as a philosophical document of its own kind. Niambie kifungu cha Azimio la Arusha ambacho ni cha kipuuzi.
Na uniambie kwanini unaona ni cha kipuuzi.... if you base your argument in its practicability (of AD), then tell me if that idea was impractical because of the type of the citizenry that it was imposed to or it's simply utopian?

Siku zote Kinga ni bora kuliko kuzuia .........Ukiwa na miiko na maadili in the first place...........huko bungeni utakutana na may be "vijibwa" na si "MIJIBWA"............ni rahisi ku-deal na vijibwa......sasa hivi Waziri wetu Mkuu anatuambia aki-deal na MIJIBWA Taifa letu litayumba/litatetemeka........damn!................je hizi ndio values of democracy tunazohitaji?
...Kwa maana hiyo, kitu gani ambacho si pumba, katika vyote tulivyonavyo leo hii?Unlike Azimio la AA ambalo ni pumba tupu lenye kudidimiza haki za ubinadamu na eti tuliweke kwenye mchakato wa katiba pheew.
...Huwa najiuliza, je, Nyerere alifika mahala akaacha kusimamia A la A au ilikuwaje. Maana, hata kutohamia MM-D chanzo twaweza sema ni Nyerere, kwani yeye ndiye angeanza kuhamia huko. Au?Ogah, In politics check and balance is the mother of all Kinga. To be honest with you my father was a mid-level district officer when Nyerere was still in power,and the practices of government officials at regional, and district levels didn't reflect what Azimio la Arusha postulates.