@Waberoyamkuu una moyo wewe!!
soma tathmini ya Nyerere ya AA baada ya miaka 10
http://www.tzonline.org/pdf/thearushadeclarationtenyearsafter.pdf
soma artcile hii ya mihangwa pengine itakufurahisha kidogo, lakini tatizo la msingi liko palepale tu.....kuwa Nyerere alikosea sana kuanzia mwanzo
Home*»*Insight
1. Nyerere alikosea ujamaa...haukuwa wakati wake na yy alijua hivyo
2. AA ilikuwa aidea yake baada ya miaka 10 likafa watu inaonyesha watu wake au vijana wake hawakujua lolote...unalosema azimio halikuwa azimio bali tamko!!
Mkuu hili la mrengo wa Kati lazima ulitazame kwa umakini sana maana tusichanganye siasa zinazohusu nchi za magharibi ktk mazingira tofauti kabisa na yetu.Sehemu ya itikadi ya Chadema inayo nitatiza ni suala la kuwa 'mrengo wa kati' na nilishalijadili hili huko nyuma katika mazingira ya pro - poor economic growth ambayo ni muhimu sana given the level ya umaskini uliokithriri katika nchi yetu. Bila ya kuwa waangalifu, wananchi watakata tamaa haraka sana chini ya utawala wa Chadema unless itikadi ndani ya katiba yake iwe ni maneno tu lakini watekeleze sera za uchumi zenye kulenga kuleta maendeleo ya jamii kwa namna tofauti. Hata CCM wanasema itikadi yake ni ujamaa lakini utekelezaji wake ni tofauti kabisa. Pengine hii ni kawaida kwa vyama vyetu - kuweka itikadi yoyote kwenye katiba zao kama njia ya kutekeleza masharti ya usajili wa chama. Sina uhakika kama huwa wanakaa chini na ku 'brain storm' vyama vinahitaji kufuata itikadi ya/za namna gani ili kujipatia mafanikio ya kisiasa kutokana na kuwa na sera ambazo zina 'deliver'.
Tusisahau kwamba itikadi inatokana na matakwa ya jamii katika muda uliopo, haitungwi na chama i.e the process ya kupata itikadi ni bottom-up, sio top-down. Kinachotokea ni kwamba - chama kinaangalia jamii ina mtazamo gani, kisha kuweka mengi ya hayo katika package ya itikadi na kuendesha masuala yote ya kisera kwa mtazamo husika.
Otherwise Chadema ni Chama makini na kina nafasi kubwa sana ya kuleta mabadiliko nchini kuliko CCM. Tanzania inahitaji mawazo mapya na hayo hayawezi kutokea CCM hata siku moja. Ile kauli mbiui ya ARI MPYA KASI MPYA na NGUVU MPYA ilistahili itokee chama cha upinzani.
Ujamaa still the best policy
By Ashton Balaigwa
28th April 2012
A University of Dar es Salaam (UDSM) lecturer in Political Science and Public Administration, Richard Mbunda, has said that socialism (Ujamaa) is still the best policy for Tanzania.
Presenting a paper at a function to mark the World Smallholder Farmers' Day at Sokoine University of Agriculture (SUA) recently, Mbunda said the fact that the policy sought to establish equality and justice in society made it still ideal for the country even today.
He said currently low-income earners, which most smallholder farmers are, were generally being ignored although they were the very ones who sustained the country's economy.
Mbunda noted that inequality was getting more pronounced now as a few people with the political and financial wherewithal were grabbing huge pieces of land on the pretext of investment while forcefully evicting smallholder farmers from their lands.
He said initiatives such as Kilimo Kwanza wouldn't benefit smallholder farmers, citing the Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania (Saggot) as a movement which, in his opinion, would not benefit smallholder farmers.
"The Arusha Declaration, in spite of its shortcomings, aimed at elevating smallholder farmers, as currently there is no ideology which aims at liberating this group which comprises over 80 per cent of the country's population," he emphasised.
Contributing to Mbunda's presentation on the principles of the Arusha Declaration in connection with land grabbing in rural areas, Network of Farmers' Groups of Tanzania (Mviwata) patron Stephen Mashishanga, whose group hosted the event jointly with the Tanzania Associations of Land (TALA), said farmers still needed Ujamaa because the system gave them opportunities to grow.
"We still need the Arusha Declaration and all that it stood for. It is only a few leaders who have neglected it and thus weakened its implementation," he said.
For his part, HakiArdhi director Yefredy Myenzi argued that the government and its organs were part of the land grabbing problem. He accused some executives of collaborating with foreign investors to grab land from villagers on the pretext of promoting investment.
He claimed that 647,000 hectares of land were grabbed in 2010 alone by ‘investors' to pave way for the establishment of huge farms for planting jatropha, sugar cane and palm for producing biofuel.
Myenzi identified another cause for widespread land grabbing in rural areas as the expansion of companies following imperialistic principles, whereby managements of such industries created networks of smallholder farmers producing for them at a very low cost.
He also claimed that land grab was fuelling environmental degradation as forests were cleared to pave the way for jatropha production.
SOURCE: THE GUARDIAN
Where did this guy get his Phd? The population of Tanzania is skyrocketing and the use of land can't be used as equalizer of wealth distibution.
ZA10, The fact that Arusha declaration came into being in 1967 does not make it obsolete in 2012. It is a fact that, the population of the country then was 10 million, and the declaration was mainly meant to cater for peasants and civil servants, in one party mentality. We are almost +40 Million now, and we have businesses, intellectuals, artists, sportsmen, diaspora and other groups playing a role in the development of our country, and we are a multiparty democracy now.
Just think about this, since we dumped the declaration what alternative did we have to replace it..Azimio la Zanzibar. Which in fact killed all core principles of la Arusha.
The issus here ni vision inayowalenga watanzania walio wengi na kutowasahau wachache, miiko ya uongozi inayowafanya wafanye kazi kwa ajili ya Tanzania na watanzania. Kwa sasa hilo halipo, kwa sasa viongozi wanaangalia ni vipi chama kitakaa madarakani na waweze kulinda personal economic interests, no body cares about Tanzania na watanzania. Azimio la Zanzibar liliwafanya wawe hivyo.
Sasa hivi ukiona mtu ni waziri usije dhani kuwa anafanya kazi kwa ajili ya wananchi au kwa ajili ya Tanzania.
So, Azimio la Arusha i am talking is amended one not corrupted one like la Zanzibar. We need Azimio la Arisha in the form that can suit the current environment. I admit that mambo mengi yamebadilika, lakini inaonekana kuwa we are astray because the alternative which CCM brough us, AZIMIO LA ZANZIBAR limehalalisha nchi kuendeshwa kama gari isiyo na usukani, viongozi kuwa wezi, matapeli na wasiojali nchi na wananchi, wanawakumbuka pale wanapotaka kuwatumia tu wakati wa uchaguzi.
ZA10, The fact that Arusha declaration came into being in 1967 does not make it obsolete in 2012. It is a fact that, the population of the country then was 10 million, and the declaration was mainly meant to cater for peasants and civil servants, in one party mentality. We are almost +40 Million now, and we have businesses, intellectuals, artists, sportsmen, diaspora and other groups playing a role in the development of our country, and we are a multiparty democracy now.
Just think about this, since we dumped the declaration what alternative did we have to replace it..Azimio la Zanzibar. Which in fact killed all core principles of la Arusha.
The issus here ni vision inayowalenga watanzania walio wengi na kutowasahau wachache, miiko ya uongozi inayowafanya wafanye kazi kwa ajili ya Tanzania na watanzania. Kwa sasa hilo halipo, kwa sasa viongozi wanaangalia ni vipi chama kitakaa madarakani na waweze kulinda personal economic interests, no body cares about Tanzania na watanzania. Azimio la Zanzibar liliwafanya wawe hivyo.
Sasa hivi ukiona mtu ni waziri usije dhani kuwa anafanya kazi kwa ajili ya wananchi au kwa ajili ya Tanzania.
So, Azimio la Arusha i am talking is amended one not corrupted one like la Zanzibar. We need Azimio la Arisha in the form that can suit the current environment. I admit that mambo mengi yamebadilika, lakini inaonekana kuwa we are astray because the alternative which CCM brough us, AZIMIO LA ZANZIBAR limehalalisha nchi kuendeshwa kama gari isiyo na usukani, viongozi kuwa wezi, matapeli na wasiojali nchi na wananchi, wanawakumbuka pale wanapotaka kuwatumia tu wakati wa uchaguzi.
Kuna maafa ya ajabu kuliko wizi unaofanywa na viongozi hivi sasa? Kuna maafa ya ajabu kuliko watu kunyang'anywa mashamba yao na kupewa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji? Kuna maafa ya ajabu kama nchi inayotajwa kuwa mzalishaji wa tatu wa dhahabu duniani lakini haioni matunda ya dhahabu hiyo mbali tu na watu kutajirika kimjini mjiini wakati hospitali na shule zetu zikiwa hoi bin taabani? At least wakati wa azimio tullikuwa na madawa hospitalini, watu walikuwa na matumaini ya kupata elimu nzuri. Sasa je? Maafa kweli!- Mkuu waliolitupa Azimo, walifanya hivyo kwa sababu hawakuona likiwanufaisha wengi ndio wakaamua kuweka njia itakayowanufaisha wengi nayo ni Ubepari tulionao sasa. Sio kazi ya Serikali kuona kila mwananchi anakuwa sawa na mwingine kimaisha hapana kazi ya Serikali ni kutoa nafasi sawa kwa wote tu na kusimamia sheria.
- Wakati linavunjwa Azimo, lilikuwa na miaka karibu 25, sasa na Ubepari upewe nafasi kwanza kabla ya hukumu, tuliwapa nafasi na Azimo, limetuletea maafa ya ajabu sana, sasa na Ubepari uachiwe kwanza ndio tutoe hukumu!
William.
Kuna maafa ya ajabu kuliko wizi unaofanywa na viongozi hivi sasa? Kuna maafa ya ajabu kuliko watu kunyang'anywa mashamba yao na kupewa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji? Kuna maafa ya ajabu kama nchi inayotajwa kuwa mzalishaji wa tatu wa dhahabu duniani lakini haioni matunda ya dhahabu hiyo mbali tu na watu kutajirika kimjini mjiini wakati hospitali na shule zetu zikiwa hoi bin taabani? At least wakati wa azimio tullikuwa na madawa hospitalini, watu walikuwa na matumaini ya kupata elimu nzuri. Sasa je? Maafa kweli!
Kuna maafa ya ajabu kuliko wizi unaofanywa na viongozi hivi sasa? Kuna maafa ya ajabu kuliko watu kunyang'anywa mashamba yao na kupewa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji? Kuna maafa ya ajabu kama nchi inayotajwa kuwa mzalishaji wa tatu wa dhahabu duniani lakini haioni matunda ya dhahabu hiyo mbali tu na watu kutajirika kimjini mjiini wakati hospitali na shule zetu zikiwa hoi bin taabani? At least wakati wa azimio tullikuwa na madawa hospitalini, watu walikuwa na matumaini ya kupata elimu nzuri. Sasa je? Maafa kweli!
Zakumi,Jasusi,
Democracy has its own price. But in long run it's much better than command economy, the model of Azimio la Arusha.
...Mchambuzi, mkiongezeka watu kama wewe humu, inatia hamasa sana kuchangia mada au hoja, maana wakati mwingine mambo huchukuliwa juu juu tu.Nadhani watanzania wengi leo hii wanamhitaji Mungu kutunusuru zaidi na tunapokwenda kuliko tulipotoka, je unapingana na hoja hii? Ni muhimu ukaachana na mawazo kwamba maendeleo yetu ni ‘path dependent.' Kuna msemo unasema ‘usione vinaelea, ujue vimeundwa'. Unayo yaona Ulaya na Marekani hayaji kwa kuiga. Na usitazame nchi kama South Korea na wengine pale wanaoitwa ‘tigers' ukadhania na sisi tutafika huko just by embracing hayo unayo sisitiza ‘Ubeparia na Utawala unaofuata Sheria'. Ni muhimu ukatambua kwamba Development is not path dependent and Mwalimu aligundua hilo mapema kabisa. Inaonyesha wewe ni muumini wa soko huria per se na kwa ushabiki zaidi kwani haujadili kabisa mapungufu ya mfumo huu ulioletwa kiholela relative to mfumo unaopingana nao. Kama unadhani mawazo ya azimio la arusha ni mufilisi, mawazo ya soko huria ni mawazo mufilisi zaidi, especially kwa vile ni mawazo ya kuiga. Sidhani kama ni sahihi kuita mawazo ya azimio la arusha kwamba ni mufilisi hasa ukizingatia kwamba Azimio hili lilitambua kwamba gifts and loans ilikuwa ni sumu ya uhuru wetu na vitu vya kudhoofisha na kuingilia juhudi zetu za kuwa taifa linalo lenga kujitegemea. Nini mufilisi katika lengo noble kama hili? Wanaotaka tulirudie azimio la arusha sio kwamba wanataka lirudiwe kama lilivyo bali kwa kufanyiwa marekebisho.
...Seconded.Where did this guy get his Phd? The population of Tanzania is skyrocketing and the use of land can't be used as equalizer of wealth distribution.
...Nailed!Zakumi, True, democracy has its own price. But what is happening in Tanzania today is not democracy. It is kleptocracy bordering on arnachy.
Where did this guy get his Phd? The population of Tanzania is skyrocketing and the use of land can't be used as equalizer of wealth distibution.
Mkuu Mkandara, I think this is the best I have seen from you! Gia aliyoingia nayo Waberoya ilinifanya kwa siku mbli niwe na usingizi mgumu. Lakini sasa nina weekend njema! Hoja ya kutokuwa na Mtizamo Murua na ulionyoka kwenye swala zima la SHERIA YA NCHI! MIIKO YA UONGOZI! MAADILI na KATIBA YA NCHI ...Imekuwa ndio FUNDO halisi la Mjadala huu na kwingineko na ni wachache wenye jeuri ya kuukabili!
Ngoja na Mimi nitengeneze hitimisho kwa ajili ya Fainali!!!! Maana wakati umefika lazima hili jambo lieleweke!!
Zakumi,
True, democracy has its own price. But what is happening in Tanzania today is not democracy. It is kleptocracy bordering on arnachy.
Mkuu tatizo sio PhD yake, tatizo ni individual interest overriding our morals hapa Tanzania... greedy is eating us alive
Professor Yunus wa Bangladesh, a Nobel Laureate ana kitabu kizuri sana kichaoongelea our greed, (a man eating a man kwa tamaa fupifupi)
He established grameen and once politicians got a hand, wakaanza kuleta yaleyale ya Tanzania.... although his dream was good and real, today grameen is benefitting politicians and greed businessmen more... AND WE CANT BLAME HIS MODEL BUT A FEW IMPLEMENTERS
I do still believe tatizo si azimio la arusha, bali tatizo ni choyo ya kitanzania
Jasusi talked of anarchy... Yes!!! and to be honest, anarchy is an identical twin wa greed people!!!
we are in for a long circus show where we are the jockeys adn the mickeys
wewe!
yaani post yangu ilikunyima usingizi??
Tunajadili tu hapa mkuu, wala hakuna haja ya kuwa na pressure za kuleta kuukosa usingizi
we are all learning, personally huwa ukinizidi na kwa hoja sina hiyana ya kuwa upande wako...ndivyo nilivyo
Ila kwa AA mpaka sasa sijaona hoja ya kusema nilikubali!!! halikutakiwa kuwepo na walioliua ndio wale walioliimbausiku na mchana!!! what a joke1
Thats nature buddy!!
we are all selfish in nature...
Leaders should be governed by rules and laws.....not preaching and beliefs as AA!!
Ndio leo watu wanalia mwinyi, mkapa na kikwete kufanya biashara ikulu!! hawa wanatakiwa kubanwa na sheria na kuchukuliwa hatua!!
Nyerere alivyojiona yeye ni muadilifu akafikiri wote wako kama yeye au wawe kama yeye...is impossible and
that was his failure
Zakumi, nadhani naandika mambo mengi ndio maana tunashindwa kufuatiliana. Sasa nakuuliza hivi:-Bongolander,
I have said many times in this thread that we as a country didn't dump Azimio la Arusha. As matter of fact it left us unceremoniously. This is because the nascent of multi-party system in 1992 made all political documents such as Azimio la Arusha, Azimio la Zanzibar, Kizota Program, and others which weren't formalized into laws irrelevant.
As it stands Azimio la Arusha is an intellectual property of the ruling party CCM. The members of this party and their sympathizers can discuss about it. If they want to go back to their roots, I don't have problem with that. If they want to use Koran, Bible, or the charters of sports clubs such Simba and Yanga, I don't have problem with that either. However, they shouldn't try to impose their will upon others. That's illegal and inhuman.
If you don't understand that, let me put this way. Conceptually, the relevance of Azimio la Arusha might exist in your mind. But the document isn't legally binding. It isn't a contract between the Tanzanian government and its people. It's also important to note that our country is a republic with two important guidelines, the constitution and the legal system. Unfortunately, Azimio la Arusha isn't one or part of them. So please stop using it as the baseline to run the country even if there are some good things in it.
And one more thing, those CHADEMA members who try to tell me how good Azimio la Arusha is, you are glory hunters and philosophically bankrupt. CHADEMA has its own political philosophy and it should formulate its own declarations if needed. Besides, you are members of a center right political party and you should behave like one.