William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
William,
..Azimio la Arusha ninavyoelewa mimi lilikuwa na sehemu mbili.
..sehemu ya kwanza, ilihusu masuala ya siasa za Ujamaa, pamoja uendeshaji na umiliki wa uchumi wetu.
..sehemu ya pili, ilihusiana na masuala ya utawala wa sheria na miiko ya uongozi.
..tunaweza kukwepa sehemu ya kwanza, lakini hii ya pili hatuwezi kuikwepa.
..hata kama tukizamia mia kwa moja kwenye ubepari lazima utawala wa sheria na miiko ya uongozi iwepo.
..hata USA ambako umeishi kwa miaka mingi wana miiko ya uongozi, wenyewe wanasema conflict of interests.
..mwisho, practically tumekuwa tukiendesha nchi kibepari, what has not happened is CCM declaring kwamba tumekuwa tukifuata mfumo wa Kibepari tangu Mwalimu aondoke madarakani.
NB:
..mbona mimi naona hawa viongozi baada ya Mwalimu nao hawajui sheria wala uchumi??
..Nyerere alikuwa hajui sheria lakini hata mara moja hatukusikia serikali yake imejitumbukiza kwenye mikataba ya hovyo-hovyo kama Richmond, au amejimilikisha mgodi wa madini.
Good analysis.Inashangaza watu kufikiria kurudi kwenye azimio la Arusha.
Mkuu wangu baharia mbona unaturudisha nyuma kiasi hicho.. Wewe Azimio la Arusha ndilo limekusomesha bure na ukajisifia kwa kumpa sifa zote Nyerere leo unaliponda.. Nyerere hakujuja Uchumi vipi?..Ni Azimnio la Arusha lilojenga reli ya Tazara, Azimio la Arusaha lkililojenga viwanga vya matairi General tyre, UFI, viwanda vya nguo, saruji, nguvu za umeme ukayarudi disco la Mbowe hata siku moja umeme haukukatika, leo unaliponda wakati ndio kwanza tulijenga vitu hivyo tukashindwa kuviendesha sisi wenyewe kama walivyoshindwa China na Russia..Well, heshima mbele sana JF,
- Ninaomba kusema tena na tena, we were Dead wrong na idea za Azimio La Arusha, infact ndilo limetufikisha hapa tulipo yaani tumekwama hili taifa, hatujui tunakokwenda wala tulikotoka. Halafu wanatokea wasomi wanaodai eti turudi kwenye Azimio, hilo Azimio limetushinda mwanzoni kwa nini kuna wanaoamini tutaliweza sasa?
- Recently, nimeona wale wengi walioachwa kwenye uongozi wa juu yaani kwenye mlo, wakililia Azimio, halafu ninachukizwa sana ninapoona media inawapa free lunch hawa waliokosa mlo, sijawahi kuwasikia wakisema Azimio liliwahi kumfunga kiongozi gani wa juu mwizi, sijawasikia wakisema Azimio lilifanya nini cha maaana mpaka wanalilia!
- Mwalimu, yes was the greatest ever, lakini Mwalimu alikuwa na mapungufu makubwa mawili, hakujua;- !. Uchumi 2. Sheria, hivi vitu viwili Mwalimu simply hakuvijua kama alivijiua basi hakuvitilia maanani, na ndivyo vinavyolitafuna taifa letu sasa akiwa hayupo!
- WA-TANZANIA, KAMA TUNATAKA KUSONGA MBELE NA KIJIREKEBISHA TUACHANE NA MANENO YA AZIMIO LA ARUSHA, KWA SABABU NDILO HASA LIMETURUDISHA NYUMA SANA, LISIRUDI, LIENDE ZAKE, NA TUSILIJADILI MAANA NI SHETANI LILILOTURUDISHA NYUMA SANA, SASA TWENDE MBELE NA UBEPARI NA UTAWALA UNAOHESHIMU SHERIA NDIO THE BEST WAY MBELE!
RESPECT PEOPLE!
Mr. Willie @DSM City!

JokaKuu Hiyo sehemu ya pili!!William,
..Azimio la Arusha ninavyoelewa mimi lilikuwa na sehemu mbili.
..sehemu ya kwanza, ilihusu masuala ya siasa za Ujamaa, pamoja uendeshaji na umiliki wa uchumi wetu.
..sehemu ya pili, ilihusiana na masuala ya utawala wa sheria na miiko ya uongozi.
..tunaweza kukwepa sehemu ya kwanza, lakini hii ya pili hatuwezi kuikwepa.
..hata kama tukizamia mia kwa moja kwenye ubepari lazima utawala wa sheria na miiko ya uongozi iwepo.
..hata USA ambako umeishi kwa miaka mingi wana miiko ya uongozi, wenyewe wanasema conflict of interests.
..mwisho, practically tumekuwa tukiendesha nchi kibepari, what has not happened is CCM declaring kwamba tumekuwa tukifuata mfumo wa Kibepari tangu Mwalimu aondoke madarakani.
NB:
..mbona mimi naona hawa viongozi baada ya Mwalimu nao hawajui sheria wala uchumi??
..Nyerere alikuwa hajui sheria lakini hata mara moja hatukusikia serikali yake imejitumbukiza kwenye mikataba ya hovyo-hovyo kama Richmond, au amejimilikisha mgodi wa madini.
Tatizo kwenye thread yake hauingii tena baada ya kushushiwa nondo za ukweli.
Azimio ccm wakishirikiana na baba yako walishaliua miaka ya 70 unataka tulijadili lipi?
Kuturudisha kulijadili azimio ambalo baba yako alishiriki kuliua ni kutupotosha tusijadili current issues.
- Joka Kuu, heshima yako sana mkuu, mataifa yote yaliyoendelea Duniani hayaishi kwa miiko ya uongozi, yanaishi kwa utawala unaoheshimu sheria tu! Ukishaanza maneno ya miiiko automatically, unatoka kwenye mkondo wa sheria na ku-establish alternative ya sheria matokeo yake ndiop haya tumekwama, kiongozi mwizi kwenda kujadiliwa kwenye vikao vya chama, nonsense!
- Mawaziri wezi, mnaenda kubishana bungeni, bdala ya kwenda kwenye sheria, Mataifa yote yaliyoendelea Duniani, kamati yao ya bunge inaangalia ishu ikiona waziri ni mwizi anaitwa mbele ya kamati na kuhojiwa, akishindwa kuridhisha kamati hoja inapelekwa kwenye full bunge, inapigwa kura ili aende mahakamani au aadhibishwe na kamati ya bunge, kama kura hazitoshi kama ilivyo bunge letu ni kazi ya upinzani kuichukua kesi kwa wananchi! Wananchi wataamua tena in a very good way kwa kuwafundisha viongozi kwenye kura,
- Sisi tumekalia kulia lia tu, Azimio! hivi lile Azimio gani lililokuwa dead hata kabla halijaanza?
Willie!
Leo umeamka vipi hasa, Sasa utaweza vipi kuwa na sheria ikiwa huna miiko?- Mkuu hapa hakuna baba yako wala wa mtu yoyote, the agenda ni uozo wa Azimio la Arusha, we were dead wrong na Mungu awajalie wale wote walioliua, maana ndilo limetufikisha hapa, Taifa limekwama hatujui tunatoka wapi, tunakwenda wapi? Ukiwauliza viongozi wa juu hakuna mwenye jawabu, na huku kwetu ndio kabisaa great thinker anaongelea miiiko ya uongozi, mtumzima na akili timammu anaongelea miiiko ya uongozi!
- MUNGU IBARIKI TANZANIA, NA HAWA MASKINI WAKO WA AKILI NA KUTOFIKIRIA SAWA SAWA, wanaolilia miiiko badala ya sheria!
William.
- Mkuu hapa hakuna baba yako wala wa mtu yoyote, the agenda ni uozo wa Azimio la Arusha, we were dead wrong na Mungu awajalie wale wote walioliua, maana ndilo limetufikisha hapa, Taifa limekwama hatujui tunatoka wapi, tunakwenda wapi? Ukiwauliza viongozi wa juu hakuna mwenye jawabu, na huku kwetu ndio kabisaa great thinker anaongelea miiiko ya uongozi, mtumzima na akili timammu anaongelea miiiko ya uongozi!
- MUNGU IBARIKI TANZANIA, NA HAWA MASKINI WAKO WA AKILI NA KUTOFIKIRIA SAWA SAWA, wanaolilia miiiko badala ya sheria!
William.