KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Nyingi zilichukuliwa na serikali mfano Forodhani, Ilboru, Kigurunyemebe chuo cha ualimu, Pugu secondari n.k.Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi.
Swali ni kwamba kwanini Shule za Seminari hazikutaifishwa?