Azimio la Arusha: Kwanini shule za Seminari hazikutaifishwa?

Shule za seminary lengo lake Ni train mapadre.Serikali ilitaifisha shule za misheni na isingeweza kufanya hivyo kwa shule za seminary.
 
Hakuna shule ambazo hazikutaifishwa ila wakatoliki waliziomba Tena baadhi wakapewa baadhi hawakupewa mfano ni tabora boy, mzumbe boy, kilakala girl na nyingine nyingi Sana... Kwa upande wa waislam wao hawakuwa na shule nyingi na ili kubalance uwiano ndio shule za kiislam zilizotaifishwa zikawekwa chini ya bakwata...
Ila tu nikwambie hakuna taasisi ambayo haikuonja chungu ya utaifishaji enzi hizo... So wazungu, waarabu na wahindi walikipata pata..kama wahindi walikuwa na majengo karibu kila mji hapa tanzania ambayo Leo hii ni majengo ya national house yalikuwa ni ya wahindi mengi ila yote serikali iliyachukua mengi Hadi Leo yamekuwa Mali ya serikali moja kwa moja....
Zamani yalikuwa chini ya msajili wa nyumba/ majumba
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi.

Swali ni kwamba kwanini Shule za Seminari hazikutaifishwa?
KWa hiyo ungewafundisha wewe maoadri au? Mbona shule za misheni zilichukuliwa mojawapo niliyosoma mimi ilikuwa inaitwa St. Joseoph SS ikawa Forodhani Secondary schoo. Ninyi watoto wa Secondary mna mpaka Google mnashindwa kutafuta taarifa kweli????? Mnatuangusha wazazi wenu! Na huyo anayemtaja Baba wa Taifa hamkomi msio na shukrani ninyi. Muulize Kikweyte aliosma wapi?
 
Unajua kwamba Kigonsera ilikuwa ni Seminari? Umewahi kuisikia shule inaitwa Tosamaganga? Umewahi kuisikia shule inaitwa Matola nk? Unajua zilikuwa zinamilikiwa na nani?
Hata PUGU, Tabora Boys, Karatu Sec., Ilboru n.k zote zilikuwa za Shule za Kanisa. Mleta mada bado hana ufahamu mkubwa na mali za Kanisa zilizotaifishwa.
 
Zilitaifishwa nyingin tu. N abaadae kanisa likajenga shule nyingine nyingi tuu kwenye miaka ya sabini hususani seminari ndogo kama uru, maua, likonde nk
 
Hakuna shule ambazo hazikutaifishwa ila wakatoliki waliziomba Tena baadhi wakapewa baadhi hawakupewa mfano ni tabora boy, mzumbe boy, kilakala girl na nyingine nyingi Sana... Kwa upande wa waislam wao hawakuwa na shule nyingi na ili kubalance uwiano ndio shule za kiislam zilizotaifishwa zikawekwa chini ya bakwata...
Ila tu nikwambie hakuna taasisi ambayo haikuonja chungu ya utaifishaji enzi hizo... So wazungu, waarabu na wahindi walikipata pata..kama wahindi walikuwa na majengo karibu kila mji hapa tanzania ambayo Leo hii ni majengo ya national house yalikuwa ni ya wahindi mengi ila yote serikali iliyachukua mengi Hadi Leo yamekuwa Mali ya serikali moja kwa moja....
Serikali ilijua kuwatia watu umasikini na yote hii sababu na wao walikua masikini tu....
 
Nilisoma historia ya Karimjee Jivanjee family, Wale walianza kuwekeza Zanzibar. Kutokana na mabadiliko ya kisiasa miaka 1890 waliamua kuja bara na kuwekeza katika kilimo enzi za utawala wa Mjerumani.

Baada ya WWI Wajerumani walipoondoka, Waingereza waliuza mali za Wajerumani kwenye mnada ikiwemo mashamba ya mkonge ya Ruvu, majengo mengi eneo la Posta ya Zamani enzi hizo ndiyo mji ukikomea hapo.

Karimjee wakipoteza nyumba nyingi sana katika Azimio la Arusha. Kuanzia hapo waliamua kuwekeza zaidi Uingereza kwenye stability.
Liitwe tu azimio la umasikini
 
Back
Top Bottom