Hakika Waasia na Waarabu walimsaliti Mwalimu JK kwa kuwa aliwapigania akifikili ya kuwa Waasia na Waarabu ni Watanzania wa dhati kwa misingi ya kuwa utu wa mtu si rangi bali ni moyo wa mtu.Lakini kinyume Waasia na Waarabu wamekuwa ndio magwiji na vinala wa kuhujumu Taifa katika miradi na mikakati yote muhimu ya ujenzi wa Tifa hili.
Inawezekana Dewji kakosea laki:
1. Je Nyerere aliwapigania vp waasia na waarabu? Kwa Kutumia azimio la Arusha au?
2. Hakuna watanzania weusi au makampuni ya kizungu yanayo ibia nchii hii zaidi ya waasia na waarabu?
Pinguza jazba mkuu, unapotosha ukweli.
Kwani hao wahindi mbona wanajistukia? Kwani wao pekee ndio wanaoishi humo?
Mkuu DSN,
Bahati mbaya majibu yako yameonesha kuwa you are not only an ordinary fan, but a rather fanatic supporter of the new NHC Director General. Why is that, you know better?
Kwanza kabisa ilibidi DG wa NHC atambue na aelewe misingi ya Baba wa taifa kutaifisha majumba haya, ambapo mengi yake wamiliki ni watu wenye asili ya kiasia. Sababu kuu ilikua ni kuwapatia wananchi affordable housing na kuondoa unyonyaji wa makabaila.
Lakini la pili, Mwalimu alikua siku zote za maisha yake akiupinga UKABURU. Kwake yeye ukaburu ulikua ni ubaguzi wa rangi wa aina yeyote. Na ndiyo maana kwenye miaka ya '70s majeshi ya Kitanzania yalipelekwa nje ya mipaka yetu kupigania ubaguzi wa rangi. Na Mwalimu mwenyewe alikua na mawaziri wa kiasia kwenye baraza la mawaziri kwa kipindi kirefu tu. Amir Jamal ni mmoja wa mawaziri aliyesimamia "industrialization" ya Tanzania kwa ufanisi mkubwa kabla ya mchwa hawajaingia na kumaliza mashirika yetu miaka ya 70s. Hizi form za kujaza rangi ya ngozi ya mtu alizointroduce DG wa NHC na Rubber Stamp Board yake zinaturudisha nyuma, maana inasemekana alihandpick na kufacilitate uwepo wa idadi kubwa ya members wa Board ili iwe a True Rubber Stamp Board.
Inaelekea huyu DG wa NHC halitambui hili kwa vile ni bwana mdogo sana na haijui historia au hazipendi tu sera za usawa Mwalimu alizokua anapigania mpaka kufa kwake.
Cha kushngaza hakuna sehemu uliyocomment kama Azim Dewji nilivyomnukuu akisema, DG wa NHC mshahara wake kwa mwezi ni ZAIDI ya Millioni Ishirini, hii inaashiria mshahara wa huyu mtu upo pegged to the dollar ndio maana hautajiki kutokana na flactuations za USD market. Sasa hapa naomba bwana DSN "mtetezi wa wamatumbi" utufafanulie. Kama hata maKatibu wakuu mshahara haufiki millioni 3 kwa mwezi, kuna justification gani ya kumlipa mtu mmoja ZAIDI ya millioni 20 kwa mwezi?? Ina maana hicho kipaji cha uongozi ni kipaji gani cha kipekee kiasi kwamba hiyo kazi ingetangazwa kwa mshahara wa Millioni 7(mara mbili ya Katibu Mkuu) ingekosa watu?
Matokeo yake ni haya tunayoyaona. Huyu DG yupo totally out of touch na realities za maisha ya mtanzania wa kawaida. Na ukizingatia alitokea kwenye private banks ambako wanalipana vizuri, haelewi unapomwambia mapendekezo ya kodi ya Shs laki 5 kwa mwezi kwa mtanzania wa kawaida ni kitendawili kuzipata.
Tatizo ninaloliona ni kuwa Board ya NHC nayo ni kama rubber stamp za Management. Wakishaandaliwa visafari vya nje hapa na pale wanasahau kabisa wajibu wao wa kuisimamia management katika kuliendesha shirika, ili lisitoke kwenye misingi ya kuanzishwa yake. Kwa NHC inapoelekea sioni itakua na tofauti gani na makampuni mengine ya for profit real estate business. Kinyume kabisa na nia ya uanzishwaji kwake. Halafu hizo forms za kutaja rangi ya ngozi, jamani msiige mataifa ya nje kila kitu. Kule misingi ya constitution zao imejikita deep sana, na kila raia anajua haki zake. Huku kwetu kama kila landlord akiamua kujua rangi, baadae itakuja kuwa kabila, baadae dini, then you know where it will end. The board at NHC should immediately intervene and stop this NONSENSE!... Kwani wao NHC wamekua immigration au polisi au national sensus?
Ningekua mshauri wa DG wa NHC, kama DSN unavyoonekana kuwa karibu yake, ningemshauri akumbuke kuwa kuna ma nurse, walimu wa sekondari, madaktari ambao take home zao zinarange kati ya laki mbili kwa mwezi, na laki 7 kwa mwezi, nao ni watanzania, na wana haki ya makazi bora. Na hiyo ni total take home, haujaweka fees za watoto na mahitaji mengine muhimu. Sasa unapomwambia mtu alipe laki 5 unamaana walengwa wako watabaki kuwa watanzania wa kawaida au watanzania wenye nuru tu.
I dont care kama hakuna mmatumbi hajalalamika(sababu hatuna utamaduni wa kuandika) bali natizama content na substance ya mlalamikaji. Na kwa hili laubaguzi wa rangi kwa wapangaji wa NHC na marekebisho ya kodi, namuunga mkono Azim Dewji.
Si kila mtanzania analipwa ZAIDI ya millioni 20 kama anazolipwa DG wa NHC.
Hebu tuambie wewe mtetezi wa mabwanyenye wa kiasia ni wamatumbi wangapi wanaokaa kwenye hz nyumba za NHC mmh! Maana unaibua hoja nzuri lkn zenye chuki za wazi hv magabachori hawa wanaorigharimu taifa hili kwa matendo mengi yasiyofaa, pasi huruma kwa kutunyonya na mambo kedekede... Kuna ubaya gan magabachori kuishi kimanzichana mmh! Aise inasikitisha mtu kuona mtu analilia usawa lkn yeye n baguzi namba moja achen kumsingizia nyerere..
Mkuu Alwatan, nadhani kuna vitu huvifahamu sana kwenye hili taifa japo unaweza ukajiaminisha kuwa wafahamu sana. Au l, utakuwa unauhusiano wa namna fulani na hawa jamaa.Mkuu DSN,