Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
wahindi tanazania hawafiki laki moja na nusu..ukichanganya na waarabu hawafiki laki mbili
na wapo weeengi tu ambao ni walala hoi kabisaaa.......na hata huko mbagala na tandika wapo
na wengine wanaishi singida,rufiji na sumbawanga.....
tuache kuwaonea.......na kuwabagua.......eti waolewe na waafrica......
mbona wengi wapo walioana na waafrica??????/
lakini kwani lazima????????
mbona wapo waswahili hawata kuoana na wachaga au wahaya???????/
tuacheni wivu na akili finyu.......hizo nyumba za upanga na city centre ni uchafu tu.......wapewe ikibidi.....
tuna ardhi teeele...
kama sisi tunaweza tujenge zingine tuuziane waswahili nzuri kuzidi hizo.....
wao wana haki kudai nyumba hizo ambazo babu zao walijenga hata kama ni nyakati za ukoloni na ubaguzi....but wao wana mchango wao pia
Suala la nyumba za NHC na wahindi linatatanisha sana. Mi nadhan ifike mahali rasilimali za nchi zitunufaishe wote kwa kwa usawa, wahindi hadi sasa wamekuwa ni wafaidika wa kubwa ktk hizo nyumba kiasi kwamba wamejisahau na kuona ni haki yao kuzeekea humo. Ifike wakati na wao waone aibu na ikibidi wawapishe na wengine waonje matunda ya uhuru. Mi nadhani ingekuwa vyema na wao waje kujenga huku tunapoishi watanzania wenye asili ya kimatumbi waone ilivyo raha kuishi umatumbini.