DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,674
- Thread starter
- #41
Topic ilikuwa ni NHC sasa naona emegeuka kuwa mambo ya kuoa wahindi. Huyo mhindi si mpaka akupende ndio umuoe au unataka akuoe ili aonekane mtanzania wa kweli?
Mbona sie wasukuma tunapata tabu sana kukubaliwa na wachaga?
Kuingiza mada ya kuona ni mhusika kujalibu kupanua wigo wa ufahamu wake juu ya upana wa faida ama hasara za ibukio la zana nzima ya mjadala hasa UBAGUZI ambao umekuwa ukitajwa kuwa ni moja ya lalamiko la baadhi ya Watanzania Wenye asili ya Kiasia kuwa Swali la Dondoo ya NHC document kwa Wateja wa Nyumba zake,na wale ambao wana asili ya Kiasia na Kiarabu wemekuja juu kuhusu umuhimu wa dondoo hiyo wakati wale wenye haiba ya Kimatumbi wao hawakuiona kama ni tatizo kwao hivyo hawana malalamiko yoyote kwa Landlord wao huyo.