Azam mtatoka jamani mbona mnaenda kupokea aibu Leo
Wana azam mmejipanga??kunyonya koni
acha mboyoyo mingi weka updates
Mpira umekuwa na presha sana
Chelsea kasawazisha 1-1
Chelsea kasawazisha 1-1
kheeee bora wakose tu..Yanga wanakosa goli.
Pole dada, lile lilikuwa goli la wazi kabisa.
Bora maana hali haikuwa nzuri.
Hadi mwisho wa mchezo itakuwa Azam 3- Yanga 2, over
Dada kumbe wewe ni mdau wa darajani....!!
Oscar joshua yellow card