Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,595
- 22,484
Mkuu, vibarua wako unawaita 'misukule'!Ni mimi huwa ndio namuuzia,misukule yangu ndio inaupanda huo ukwaju,ukiwa tayari kuvunwa,unavunwa na anapelekewa azam
Nini tamu?Tamu hii
Nimeuona mwingi sana kati ya Dodoma na Manyoni,wanauza njiani kwenye viloba...Azam kwa sasa wananunua ukwaju wote unaopatikana nchini
Ukwaju unapatikana kwa wingi maeneo ya kati ya nchi kama singida
Hiyo juice ya ukwaju ya azamNini tamu?
Napitwa mimi kumbe na Mo ameshatoa juice ya ukwajuYa Azam imeandikwa Ukwaju Halisi, Mo hajaandika ukwaju halisi kaandika chemicals alizochanganya kupata ukwaju juice. Hapo ndipo anapohoji huyu Ukwaju halisi unapatikana wapi kwa kiwango hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna madini chuma.... yatafuteKilinichana chana ulimi hicho kinywaji...nikabaki na vidonda.. Sumu hizo.
Huyo daktari tangu ameanza kuishi hajawahi kuona juice isiyo halisi zaidi ya hiyo Azam Ukwaju??Kuna daktari niliona akifafanua hiyo juice ya ukwaju halisi na kusema kwamba gradients zake ni hatari sana kwa mtumiaji maana siyo halisi,kwahiyo wasingepaswa kusema ni ukwaju halisi, na ukiangalia uzalishaji gani hapa nyumbani una mashamba ya ukwaju kiasi kwamba azam kuzalisha kiasi kikubwa cha ukwaju
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza fanya kazi ila haupo kwenye boilers na mixing tanks hivyo hujui kiendeleachoMimi nimewahi kufanya kazi azam,
Ule ni ukwaju kabisa mkuu ambao wana nunua sehemu mbalimbali africa.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatamie najiuliza bhakresa na ngombe wapi na wapi?Nasubiri muulize Azam milk (Maziwa ya Azam) maana Bakhressa hana ng'ombe na anauza maziwa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yeye nondo?Huna madini chuma.... yatafute
Google nini maana ya Tamarind Pulp,maana hiyo ndio main ingredientView attachment 1304037
Inawezekana hiyo Pulp akawa anatengeneza au anaagizia India.
ChumaKwani yeye nondo?
Sidhani Kama ni ukwaju wenyewe..nahisi ni mchanganyiko wa kemikali na ladha.
Sent using Jamii Forums mobile app