Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,399
- 38,319
Napitwa mimi kumbe na Mo ameshatoa juice ya ukwaju
Hatamie najiuliza bhakresa na ngombe wapi na wapi?
Watanzania ndo tulivo kila mtu ni mtaalam wa kila kitu ndo maana tunakwama. Watu wanakunywa juisi kama unga unachanganya na maji lita 2 kwa pakti 1 sijasikia madokta wanakuja na tafiti zao za kihuni kukosoa leo Azam kawaza nje ya boksi kaja na bidhaa tayari kila mtu anakuja na utafiti wa kupinga. Eti ukwaju anautoa wapi wakati huo anaeohoji utakuta ye kwake anakunywa uji wa ukwaju sasa sijui yeye anautoa wapi ukwaju wa ujiHuyo daktari tangu ameanza kuishi hajawahi kuona juice isiyo halisi zaidi ya hiyo Azam Ukwaju??
Watanzania wanapenda sana kukosoana.
wewe ukiandika huo ukweli wako unaoujua inatosha.Ukisema UNADHANI... Hizo ni hisia... Hapa tunatafuta ukweli, kila mtu akileta hisia zake hatutapata ukweli!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wala haijawahi kuadimika kwa ukosefu wa mali ghafi !
Mbonam povu ...jamaa ana maanisha Azam anapata wapi ukwaju mwingi kiasi hiki ,hata mimi nashangaa kwa uzalishaji wa ukwaju/upatikanaji wake sidhani kama unatosha kuzalisha hiyo product yake kwa mwezi mmoja!Watanzania ndo tulivo kila mtu ni mtaalam wa kila kitu ndo maana tunakwama. Watu wanakunywa juisi kama unga unachanganya na maji lita 2 kwa pakti 1 sijasikia madokta wanakuja na tafiti zao za kihuni kukosoa leo Azam kawaza nje ya boksi kaja na bidhaa tayari kila mtu anakuja na utafiti wa kupinga. Eti ukwaju anautoa wapi wakati huo anaeohoji utakuta ye kwake anakunywa uji wa ukwaju sasa sijui yeye anautoa wapi ukwaju wa uji
Maziwa ni asas tu......ukitembelea pale iringa unaona kabisa ng'on be, maziwa na zile mashine za kukamuliaNasubiri muulize Azam milk (Maziwa ya Azam) maana Bakhressa hana ng'ombe na anauza maziwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
,Mkuu, vibarua wako unawaita 'misukule'!
Lakini dunia hii kuna mambo! Loh!
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ya Mo ni chungu kama chimpumuMmeanza fitina Za bishara,Katika vinywaji mnaona ukwaju tu,
Mbona Mo Ana juice ya ukwaju hamuulizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ya Mo ni chungu kama chimpumu