Azam Ukwaju wanautoa wapi?

Azam Ukwaju wanautoa wapi?

Pia hizo ladha za ukwaju zipo sokoni hata huku bongo.
Itakuwa wafanyakazi wa bakhressa wanaiba hizo concentrate wanazidillute na kuziuza sokoni na wale wanazipacj wanatuuzia.
Maana hakukuwaga na ladha ya ukwaju before imeanza juzi tu hapa baada ya bakhressa kuingiza sokoni ukwaju ice cream

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam kwa sasa wananunua ukwaju wote unaopatikana nchini
Ukwaju unapatikana kwa wingi maeneo ya kati ya nchi kama singida

Ni kweli wananunua Dodoma na Singida

Mara ya mwisho nilipokua huko nilisikia wagogo wakifurahia ananunua tani moja(kg 1000) kwa 1milion
 
Kuna daktari niliona akifafanua hiyo juice ya ukwaju halisi na kusema kwamba gradients zake ni hatari sana kwa mtumiaji maana siyo halisi,kwahiyo wasingepaswa kusema ni ukwaju halisi, na ukiangalia uzalishaji gani hapa nyumbani una mashamba ya ukwaju kiasi kwamba azam kuzalisha kiasi kikubwa cha ukwaju
Hata mimi nadhani umefanya vizuri kuwa mdadisi. Wachangiaji wengine wanasema kiujumla kuwa ukwaju unapatikana kanda ya kati bila kuelezea mashamba wakulima wake wako wapi na ununuzi hufanyikaje. Baadhi ya vinywaji huwa vinatengenezwa kwa kutumia vionjo vinavyofanana na matunda bila kutumia matunda halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaani kuna watu wanauza ice baridi za ukwaju,sasa zile ndo hazina fleva kabisa
Pia hizo ladha za ukwaju zipo sokoni hata huku bongo.
Itakuwa wafanyakazi wa bakhressa wanaiba hizo concentrate wanazidillute na kuziuza sokoni na wale wanazipacj wanatuuzia.
Maana hakukuwaga na ladha ya ukwaju before imeanza juzi tu hapa baada ya bakhressa kuingiza sokoni ukwaju ice cream

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Google nini maana ya Tamarind Pulp,maana hiyo ndio main ingredient
IMG_20191226_164919~2.jpeg
 
Back
Top Bottom