Kiwango Cha sukari kilichopo kwenye hiyo product nadhan ni kikubwa Sana
Binafsi Sina formula ya ku kontrol chochote katika milo yangu( the I love to eat diet), ila Kuna siku nilijaribu kula azam ukwaju ice cream, Kwa siku mbili mfululizo, siku ya Tatu asubuhi tu ni kaanza kusikia kiu Sana isiyoisha pamoja na kukojoa Sana,, typical symptoms za kisukari, nikaamua kuacha nazo
Hadi sasa naendelea tu na mfumo wangu WA chakula, ie sichagui kitu na sijawahi Tena pata dalili zile,
Sent using
Jamii Forums mobile app