Azam Ukwaju wanautoa wapi?

Azam Ukwaju wanautoa wapi?

Miezi kadhaa iliyopita nilienda Mwandege kuliko kiwanda cha azam cha juisi.
Nilikuta ma semi tailer yamejaa ukwaju kutoka
1.Shinyanga
2.Mombasa na
3.Uganda.
Ukwaju kanda ya ziwa hasa mkoa wa Shinyanga unapatikana kwa wingi sana, ni miti mikubwa kama miembe tu.
Azam alitoa tenda kwa watu kumkusanyia tani kadhaa halafu yeye anaenda kuchukua tu,ila kwa kuwa mahitaji yake yalikua makubwa ilibidi atafute tena kutoka nchi jirani.
Azam anatumia ukwaji halisi na sio concentrates
 
Anatumia concentrate hizo anazochukua anazifanya pulp for future use afu anachanganya maji na mengine ni trade secret ambayo sote hatujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania ndo tulivo kila mtu ni mtaalam wa kila kitu ndo maana tunakwama. Watu wanakunywa juisi kama unga unachanganya na maji lita 2 kwa pakti 1 sijasikia madokta wanakuja na tafiti zao za kihuni kukosoa leo Azam kawaza nje ya boksi kaja na bidhaa tayari kila mtu anakuja na utafiti wa kupinga. Eti ukwaju anautoa wapi wakati huo anaeohoji utakuta ye kwake anakunywa uji wa ukwaju sasa sijui yeye anautoa wapi ukwaju wa uji
Kwa hio ID yako huyu ni 'ndg yetu katika imani' inabidi atetewe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo umesema ukweli.
Azam ukwaju ice cream nilikula mara mbili ila si kama ukwaju naotengeneza mimi asikirimu zake kwa ladha yaani tofauti kabisa.
Sijalamba lamba tena ukwaju wake.
Ice cream za ukwaju huwaga tamu sana aiseee
Anatumia concentrate hizo anazochukua anazifanya pulp for future use afu anachanganya maji na mengine ni trade secret ambayo sote hatujui

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maziwa ni asas tu......ukitembelea pale iringa unaona kabisa ng'on be, maziwa na zile mashine za kukamulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja nilinunua Azam energy drink na mtu mmoja jirani alikuwa akinya fanta take away na kunitaadharisha kwa upole sana ndugu, kinyaji hicho si salama kabisa kuwa muangalifu. ninakampinga na katika ubishi nikamwambia ebu tusome na tuoorodheshe chemical zilizomo kwenye kila kinywaji kwa mshangao tukakuta vyote vina chemical sawa isipokuwa ile cafen iliyopo kwenye energy drink akashangaa sana.

kwa mujibu wa madaktari hakuna kinywaji kinachotoka kiwandani ambacho hakina chemical.
 
Back
Top Bottom