Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,392
- 59,139
Sidhani Kama ni ukwaju wenyewe..nahisi ni mchanganyiko wa kemikali na ladha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndiyo ukweli. Hakuna cha ukwaju halisi hapo. Vinywaji vingi wanavyodai ni matunda halisi siyo kweli Bali ni flavour tu ya tunda husikaNahisi wanaingiza uji uji wa ukwaju( tamarind concentrate) kutoka china wanatengeneza juisi. Viwanda vingi vinavyotengeneza juisi wanafanya hivyo, ni rahisi kuliko kutafuta tunda hapa na kulikamua.
Naomba kufahamu Azam ukwaju wanaotumia kutengenezea juice ya ukwaju (ukwaju halisi)wanapata wapi?hili zao inalimwa wapi kwa uwingi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Azam kwa sasa wananunua ukwaju wote unaopatikana nchini
Ukwaju unapatikana kwa wingi maeneo ya kati ya nchi kama singida
Inawezekana basi mzee baba ana wakwezi wa kutosha.Na zile nazi za pakti anazouza,hua unawaona wafanyakazi wake juu ya minazi boss,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba alichofanya ni kuipa thamani, ila juice za ukwaju tumekunywa sana tandare kwa tumbo na huku vingunguti kabla ya hizo ukwaju zake.Pia hizo ladha za ukwaju zipo sokoni hata huku bongo.
Itakuwa wafanyakazi wa bakhressa wanaiba hizo concentrate wanazidillute na kuziuza sokoni na wale wanazipacj wanatuuzia.
Maana hakukuwaga na ladha ya ukwaju before imeanza juzi tu hapa baada ya bakhressa kuingiza sokoni ukwaju ice cream
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni pulp maana yake inaweza kuwa imported, si lazima ukwaju ulimwe bongo...
Una ngomaKilinichana chana ulimi hicho kinywaji...nikabaki na vidonda.. Sumu hizo.
Ukwaju ni matunda pori kama ilivyo kwa mbuyu ,pia ukihitaji kuotesha waweza otesha na kuupanda, unamea kama maharage kipindi kifupi cha siku14 na unaanza kuzaa matunda baada ya miaka5.Naomba kufahamu Azam ukwaju wanaotumia kutengenezea juice ya ukwaju (ukwaju halisi)wanapata wapi?hili zao inalimwa wapi kwa uwingi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa scale ya production ya hiyo azam ukwaju, juice na ice cream, siamini kwamba ukwaju kama tunda unatosheleza mahitaji ya kiwanda, ni lazima kutakuwa na means nyingineUkwaju ni matunda pori kama ilivyo kwa mbuyu ,pia ukihitaji kuotesha waweza otesha na kuupanda, unamea kama maharage kipindi kifupi cha siku14 na unaanza kuzaa matunda baada ya miaka5.
Miti hiyo inapenda na kustawi sana maeneo yenye ukame.
Nenda mkoa wa Simiyu na Shinyanga utaamini ninachoandika.
Inachofanya kampuni ya Azamu ni kukusanya kwa mawakala waliopo mikoa hiyo ya Simiyu Shinyanga na Tabora, kisha husafirsha kuleta Dar kiwandani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu sifahamu content katika utengenezaji wake, hilo sifahamu.Ila kwa scale ya production ya hiyo azam ukwaju, juice na ice cream, siamini kwamba ukwaju kama tunda unatosheleza mahitaji ya kiwanda, ni lazima kutakuwa na means nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Na zilikua hazina guarantee zikiamua kuharibu tumbo.Mzee baba alichofanya ni kuipa thamani, ila juice za ukwaju tumekunywa sana tandare kwa tumbo na huku vingunguti.
Sio maziwa ya ng'ombe hata label wameandikaNasubiri muulize Azam milk (Maziwa ya Azam) maana Bakhressa hana ng'ombe na anauza maziwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume wa Dar ananyonya utam