Laboratory unatengeneza hadi uchi itakuwa ukwaju?Naomba kufahamu Azam ukwaju wanaotumia kutengenezea juice ya ukwaju (ukwaju halisi)wanapata wapi?hili zao inalimwa wapi kwa uwingi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na zile nazi za pakti anazouza,hua unawaona wafanyakazi wake juu ya minazi boss,Mbona huwa naona wafanyakazi wa Azam wanazagaa porini kusaka huo ukwaju na magunia yao.
Kuna kijana huwa anakwea minazi huku kwetu ana kikapu kimeandikwa Azam itakuwa ni wakala wao.Na zile nazi za pakti anazouza,hua unawaona wafanyakazi wake juu ya minazi boss,
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri. Maandishi kwenye chupa yanasemaje? Kila product huwa wanaandika imetumika kutengezwa kwa mchanganyiko wa nini.
Maporini huko uko mwingi sana. Labda ungeuliza pia wale wanaouza sokoni huwa wanautoa wapi.
Mbona huwa naona wafanyakazi wa Azam wanazagaa porini kusaka huo ukwaju na magunia yao.
hahahhahaha, mbavu sinaNa zile nazi za pakti anazouza,hua unawaona wafanyakazi wake juu ya minazi boss,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukwaju unalimwa sana India na Far East na pia africa ingawa sisi tuliletewa tu na zinaota hovyo tu na sio zao la biashara kwetu
Nafikiri huwa analeta concentrates kutoka India na kuchanganya na maji kupata juice
Sidhani kama anaweza kupata wingi huo kwa miti iliyopo Tanzania
Sent from my iPhone using Tapatalk
Labda bei sio kubwa sana, wakulima wa ukwaju tupeni mrejeshoUnapatikana Sana shy,tabora,ila Azam watakua wanatumia concentrate,maana sijaona soko la ukwaju likikua
Yeah hiyo ndo point langu kwamba kwa ukwaju tulio nao si rahisi kutengeneza product kubwa kiasi kile
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nadhani umefanya vizuri kuwa mdadisi. Wachangiaji wengine wanasema kiujumla kuwa ukwaju unapatikana kanda ya kati bila kuelezea mashamba wakulima wake wako wapi na ununuzi hufanyikaje. Baadhi ya vinywaji huwa vinatengenezwa kwa kutumia vionjo vinavyofanana na matunda bila kutumia matunda halisi.Nimeuliza kwa sababu kuna tetesi inasema siyo ukwaju halisi,ni fleva tu na chemical ,tena mchanganyiko wa lemon
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapatikana Sana shy,tabora,ila Azam watakua wanatumia concentrate,maana sijaona soko la ukwaju likikua