TOA MCHANGANUO WA NAMNA VAT ILIVYOLIPWA , MAELEZO YAKO MAFUPI MNO
TOA MCHANGANUO WA NAMNA VAT ILIVYOLIPWA , MAELEZO YAKO MAFUPI MNO
Nimeweka kama nilivyopokea mkuu, Lakini VAT ya jana itakua sio hiyo tena kwa sababu idadi ya waliofungiwa ving'amuzi imebadilika.
Nenda TRA.TOA MCHANGANUO WA NAMNA VAT ILIVYOLIPWA , MAELEZO YAKO MAFUPI MNO
MKABILI MTOA TAARIFA AKUPE IDADI KAMILI YA WATEJA WAKE, MAKUNDI YAO NA TOZO KWA KILA KUNDI ILI TUKOKOTOE VAT KWA MAENDELEO YA INCHI
Waeleze wameshalipa kiasi gani?
Sio blah blah!
Hivi wahed maana ake ni nini?? Please help me, napenda sana hili neno ila sijui mana yake.Wewe kama nani?
Punguani wahed.
Sijaona ufafanuzi wowote ule kutoka Azam PayTv toka Mauritius.
Badala ya kuelezea jinsi wanavyolipa hiyo kodi, wanatuwekea TIN Namba....hiyo Tin mbona kila mtu anayo?
Waje wajibu kwanini chanel ya sinema zetu wanaonyesha sinema za zamani sana sio za mda wa sasa
Hivi wahed maana ake ni nini?? Please help me, napenda sana hili neno ila sijui mana yake.
wahed=mmoja.Hivi wahed maana ake ni nini?? Please help me, napenda sana hili neno ila sijui mana yake.
TOA MCHANGANUO WA NAMNA VAT ILIVYOLIPWA , MAELEZO YAKO MAFUPI MNO