Ukusanyaji wa kodi ya ongezeko la thamani, vat | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukusanyaji wa kodi ya ongezeko la thamani, vat

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by SAMMYT, Jul 19, 2011.

 1. S

  SAMMYT Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF naomba mnisaidie jambo moja. Hivi kujisajili kwa ajili ya kulipa VAT ni option? au Mandatory? maana ninachoshangaa wanotaka kusajiliwa kwa ajili ya kulipa VAT wanazungushwa sana wakati wanauza bidhaa ambazo zinalipiwa VAT?

  Na pia kwa uzoefu wangu wauza mafuta ya diesel na pertol haiingii akilini kuwa hawaezi kuuza milioni ishirini kwa mwaka lakini inaonesha zaidi ya asilimia 90 ya hao wafanya biashara hawalipi VAT maana ukiangalia stakbadhi wanazotoa haioneshi kuwa wamesajiliwa na VAT.

  Sasa kwa nini serikali ing'ang'anie kuwatoza kodi PAYE wafanyakazi wakati hawa wenye vituo vya mafuta wamekusanya kodi halafu hawaifikishi TRA? au hii ni biashara ya watu wa TRA? Naombeni msaaada wa mawazo
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona nusu ya mapato huenda serikalini na nusu huenda kwa matumbo ya watu.
  Ndo maana wafanyakazi wengi wa TRA hawashikiki mtaani wana mijihera.
  Kuna mmoja ninamfahamu kajenga hotel ya ghorofa sita ukiidhaminisha amespend sio chini ya 4billion
   
Loading...