Azam TV wekeni mizania sawa imani ya dini

Nchi hii ina waamini wengi Wakristu na Waislam.

Nimekuja gundua Azam Tv wanashindwa kuweka mizania sawa kwa watazamaji wake wa imani hizo mbili.

Pana chaneli mliyoipachika jina la ZBC 2, hii inatosha lakini huku kwengine muwe sawa kwa watazamaji wenu.
Anayemlipa mpiga zumari/ngoma yeye ndiyo huchagua mwimbo
 
Nakuhakikishia hakuna wenye ahueni. Hujakutana nao kwa sababu sio rahisi kuwanotice walio upande wako unless uwe unawafuatilia objectively. Kuna akina gavana na akina kahtaan.

Kuna watu wanaamini kukashifu wengine ni hekima. Na JF wamejaa sana.
Tangu Ramadhani ianze kila siku huchapishwa humu mada moja au hata mbili, juu ya Imani ya Kiislam, na Waislamu siyo kwa mazuri bali mabaya.
 
Nchi hii ina waamini wengi Wakristu na Waislam.

Nimekuja gundua Azam Tv wanashindwa kuweka mizania sawa kwa watazamaji wake wa imani hizo mbili.

Pana chaneli mliyoipachika jina la ZBC 2, hii inatosha lakini huku kwengine muwe sawa kwa watazamaji wenu.
Unakosa raha sana na kujiona kama huna amani kwenye hili jambo, Zamani mimi nilikuwa naishangaa TBC (TVT) Dua kwa upande wa waislamu ilikuwa inasomwa/kuombwa na sheikh wa BAKWATA tu ila kwa wakilisto ni Roman Catholic, KKKT, Angrikana na madhehebu mengine ya kikristo cha ajabu wewe haukustaajabu.
 
Siyo kweli mbona Azam Tv wameweka channel nyingi tu za kikristo upendo, sijui rise, tumain zipo nying sana

Kwenye upendeleo ni JF tu zilipojaa nyuzi nyingi za kuukashif uislam na mwenzi wa ramadhan
 
Nahisi kabisa maumivu yako naona kabisa unavyoumia, haya maumivu hata Waislam wanayapata sana kwa sehemu nyingine nyingi sana sana hapa Tanzania na duniani kwa ujumla. Nikushauri tu ukitaka kuepuka hili acha ubinafsi na kuona upande wako ndio sahihi na unafaa kupewa kipaumbele kila wakati. Elewa kuna watu wenye maono tofauti na yako na wana haki ya kuamua walitakalo bila kuvunja sheria.
 
Religious fundamentalism is direct proportional to ignorance
Is this statement true?
 
Ving'amuzi ni vingi sana, lakini Chanel pia kwa huyo Azam Tv zipo nyingi sana za Kikristo wawezatuoia macho yako huko kwa hao

Lakini jaribu pia ku-compare mfano wa Chanel za Clouds Tv, Itv, Star Tv na mfano wake siku za Ijumaa na ulinganishe na siku za Jumapili utanyamaza na kuona hakuna sababu ya ku argue issue kama hii.
Hawa wafuasi wa nabii Tito wana matatizo sana

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu,

Kwa mtazamo wangu Azam wamekuwa na udini sana.

Nadhani wengi mmeona kwenye huu msimu wa December mfano wanakwepa kusema neno Christmas na etc

Pia Tamthilia zao hasa Ottoman ipo kimkakati sana kuliko Tamthilia zilizokuwa zinaoneshwa zamani na TBC, Chanel Ten na ITV (miaka ya 2005-2015).

Wanachofanya Azam ni kutulazimisha kununua vingamuzi vingine visivo vya kidini.
 
Na nyie kwa nini mnawang'ang'ania wakati mmeshaona hawako kirafiki zaidi?
 
moods futeni huu uzi.unachochea chuki dhidi yawaislamu.futeni haraka laa sivyo tutawajua nyie nimlengo gani.
 
Acha udikteta pinga Kwa hoja siyo kudemka tu, kama hauna hoja Kaa kimyaa
muda mchache uliopita wamefunga uzi kisa wakiristo wanasemwa.sasa tuwaeleweje?waufunge nahuu unao nanga waislamu.tujue kabisa kuwa jamiforum mijadala ya dini haitakiwi.tutaleta nyuzi za kula mbususu.
 
Wakuu,

Kwa mtazamo wangu Azam wamekuwa na udini sana.

Nadhani wengi mmeona kwenye huu msimu wa December mfano wanakwepa kusema neno Christmas na etc

Pia Tamthilia zao hasa Ottoman ipo kimkakati sana kuliko Tamthilia zilizokuwa zinaoneshwa zamani na TBC, Chanel Ten na ITV (miaka ya 2005-2015).

Wanachofanya Azam ni kutulazimisha kununua vingamuzi vingine visivo vya kidini.
Kwahiyo mtu asiposema Christmas anakuwa mdini, na asiposema Asalam alaykum anakuwa nani huyo? Filam ya Ottoman inakuzuia vip kuwa mkristo safi na inakupunguzia nini kama mkristo mwenye imani yako?
Mnapenda kujipa haki za kila kitu hata kwa kile kisichowahusu, sio kila kipindi ndani ya Azam ni kwa ajili ya kila mtu, ndio maana kuna vipindi vya watoto, kuna michezo, kuna tamthiliya za kiswahili, vyote hivyo havikutoshi umeona mkakati upo kwenye Ottoma?
Na zile channel za kikristo nazo zina mkakati gani ndani ya kisimbuzi chao?
 
moods mnapenda Sana uislamu ukichafuliwa.lakini ikianzishwa mada na muislamu fasta mnafuta uzi.semeni tuu kuwa hilijukwaa nila kikiristo tutaamua kusuka au kunyoa.
 
Mkuu, mie ni Roman Catholic na huwa natizama sana Tumaini Tv humohumo kwenye king'amuzi cha Azam.
Tatizo ninaliliona humu watu badala ya kuelewa hoja yangu wamejikita kwenye udini.
Nimetoa mfano, unaangalia (na sasa hivi naangalia) Sinema Zetu, panawekwa kibwagizo cha dini, je ni pahala pake?
Nimesema pana chaneli ya ZBC2 hii ukiiangalia ni ya kidini, mbona sijailalamikia?
Last week kuna mchungaji kafanyiwa interview XXL clouds fm, mchungaji na XXL wapi na wapi. Watu mnatakiwa kurelax acheni complications.
 
Back
Top Bottom