mahalipema
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 194
- 120
Mimi nadhani kwenye swala la kiimani ,tumuache azam na imani yake coz yeye mwenyewe anajua kama anafanya biashara na watu wa imani tofauti tofauti.Sawa mkuu, kama Kwaresma ni kwa Wakatoliki tu walivogundua ndo nimewaomba waweke mizania sawa kwa wasio na imani ya Kiislam kwenye chaneli ambazo si za kidini.
Na kitu kingine tukumbuke kuwa matangazo mara nyingi huwa yanalipiwa, labda kwa imani yake ameamua kuyalipia kwa njia hiyo.