Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,952
- 62,848
Kwani hakuna channels za mambo ya Kikristo ndani ya king'amuzi Cha AZAM?Hao AZAM TV dawa yao wakisha maliza mkataba wa kuonesha mpira wa ligi kuu ya hapa nyumbani TFF isiwauzie tena haki za matangazo mala 1000 wa wauzie DSTV kuliko hawa azam wana udini mwingi sana iyo haipingiki hata kama waislamu wana watetea na kama mpira wa hapa bongo utanza kuoneshwa kwenye dstv hao azam lazima wata funga ofisi tu