Azam TV nao wametugeuka, tuende wapi?

Azam TV nao wametugeuka, tuende wapi?

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
13,069
Reaction score
18,048
Ndugu mteja, kutokana na serikali kuongeza VAT kwenye malipo ya mwezi na ongezeko la thamani ya pesa za kigeni, inatubidi tuongeze bei ya vifurushi. Hivyo basi, kuanzia tarehe 1 Julai 2015, malipo ya mwezi yatakuwa kama ifuatavyo: Azam Pure itakuwa 12,000, Azam Plus 20,000, Azam Play 30,000.

Ngoja nirudi tu kwa mafisadi.
 
Hii nchi serikali wanaimaliza kila sekta, cha ajabu utashangaa misamaha ya kodi kwenye mashimo ya dhahabu na huku wanakamuliwa wananchi wanaohitaji huduma za lazima
 
Ngoja nisubiri Zuku mwezi huu ntalipaje...
 
Nina king'amuzi cha Azam, local channels na FTA, habari kwishney, acha waongeze! mi mpeto na FTA.
 
Hakuna kwenye afadhali daah kila kitu bei juu,hatari sana.
 
Hakuna urafiki kati ya paka na panya..Matajiri siku zote wapo Kuwakamua maskini/wateja wao. Hvy,kodi ikipanda ndo wapandishe gharama kwa asilimia 20-50?
 
ndugu mteja, kutokana na serikali kuongeza vat kwenye malipo ya mwezi na ongezeko la thamani ya pesa za kigeni, inatubidi tuongeze bei ya vifurushi. Hivyo basi, kuanzia tarehe 1 julai 2015, malipo ya mwezi yatakuwa kama ifuatavyo: Azam pure itakuwa 12,000, azam plus 20,000, azam play 30,000.

Ngoja nirudi tu kwa mafisadi.
hivi wabongo mnashindwa kuchokonoa king'amuzi mkapata ''service free?''
 
Aisee ni hatari sana siku zote end user ndio anayobeba mzigo wote,unataka kuniambia VAT imeongezeka kwa 200%? kifurushi cha 20k kiuzwe 30k? how?
 
Halafu hawa Azam Tv hawana station vya bure...Yaani zile Tv kama TBC,Star TV,Channel 10,ITV and the like huwezi zipata kwa bure

Kama huna hakika na jambo usicomment ukapotosha...mie mwezi wa pili huu sijalipia na naendelea kupata hizo channel. Kifupi azam TV wako poa sana.
 
Wamesema wazi sababu ni kushuka kwa shilingi na kuoanda kwa tozo. Tusubiri wengine tuone.....ila serikali imeshindwa kupandisha thamani ya shilingi yetu
 
Back
Top Bottom