Azam tv mnazingua

Azam tv mnazingua

kaisar19

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2021
Posts
228
Reaction score
391
Bila kupoteza muda asalaam alaykum
Bwana asifiwe.

Msiokua na mungu habari zenu.

Azam tv mmekua na tabia ya kukata matangazo ya mpira yakiwa mubashara.

Jambo hili linakera na kuzua sinto fahamu.

Nikweli brand yenu ni kubwa fanyeni kazi kama ma professional.

Mnakera mnakera mnakera
 
Ndo wewe huyu mteja wao mbona unaonekana unatishaga watoto kwenye ndoto.
sssssasadsad.jpg
 
Ngoja nilipie Dstv yangu, nilikuwa najiuliza hapa nilipie Azam au Dstv kumbe bado kuna ubwege ubwege?
EPL inapatikana kwa sh ngapi huko?

Na je ligi nyinginezo bila EPL kifurushi chake ni sh ngapi mkuu?

Nataka niachane na azam
 
Bila kupoteza muda asalaam alaykum
Bwana asifiwe.

Msiokua na mungu habari zenu.

Azam tv mmekua na tabia ya kukata matangazo ya mpira yakiwa mubashara.

Jambo hili linakera na kuzua sinto fahamu.

Nikweli brand yenu ni kubwa fanyeni kazi kama ma professional.

Mnakera mnakera mnakera
Azam amekuwa na tabia ya kuomba dharura kwenye matukio mbashara mpaka wanaboa
 
Kuna mvua ya kufa mtu camera zinaonyesha ukungu mashabiki wameukimbia uwanja pamoja na wachezaji aliyebaki uwanjani ni refa tu

Wewe unatizama kwa kutumia TV ya udongo au
 
Bila kupoteza muda asalaam alaykum
Bwana asifiwe.

Msiokua na mungu habari zenu.

Azam tv mmekua na tabia ya kukata matangazo ya mpira yakiwa mubashara.

Jambo hili linakera na kuzua sinto fahamu.

Nikweli brand yenu ni kubwa fanyeni kazi kama ma professional.

Mnakera mnakera mnakera
Mkuu ina maana hujaona winhu na mvua kubwa inayonyesha singida
 
Kuna mvua ya kufa mtu camera zinaonyesha ukungu mashabiki wameukimbia uwanja pamoja na wachezaji aliyebaki uwanjani ni refa tu

Wewe unatizama kwa kutumia TV ya udongo au
Huu uzi uliletwa kabla ya tukio la mvua, Azam walipotea hewani kwa mambo ya kiufundi kipindi cha kwanza zaidi ya dakika 30. Ishu ya mvua ikaja baadae
 
Back
Top Bottom