N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,990
- 12,023
Mafundi wenu sijui ndio wanafanyia majaribio ya kurekebisha sauti huku. Application mara nyingi imekuwa kama second option kwenu ingali watu tunalipia!?, kwa kuwa customer desk lenu halifikiki kirahisi chukueni ujumbe wenu hapa, tunao subscribe kwenye Application yenu tutendeeni haki the enjoyment ya mpira haipo kelele mikwamo nk!