Azam TV kwa hili hamnifurahishi.

Azam TV kwa hili hamnifurahishi.

Nyamtalakyono

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2015
Posts
795
Reaction score
479
Kwa kweli pasi kupepesa macho napenda kuwaeleza kero yangu kwenu na ikiwezekana muirekebishe. Kero yenyewe ni pale unaporusha mpira Live lakini hamuandiki neno Live ili mtazamaji anayeangalia aweze kujua mpira unaoendelea kwa wakati huo ni Live au Recorded.
 
Je, hata neno 'mubashara' nalo halipo?
 
Kwa kweli pasi kupepesa macho napenda kuwaeleza kero yangu kwenu na ikiwezekana muirekebishe. Kero yenyewe ni pale unaporusha mpira Live lakini hamuandiki neno Live ili mtazamaji anayeangalia aweze kujua mpira unaoendelea kwa wakati huo ni Live au Recorded.
Hyo bendera imenipa kichefu chefu
 
kama ni shabiki mzuri unajua mpk ratika sasa wewe mpk usubiri neno live
 
Mimi Azam wananiudhi na udini sana, Wanavaa mavazi ya kuonyesha dini wakati haijasajiliwa kama kituo cha dini
 
Muonekano wa wachezaji kupitia camera za Azam TV mpaka ktk seti za televisheni zetu nyumbani ni chini ya kiwango cha kimataifa.

Cameraman / crew wajitahidi kuwa karibu na pitch ili tufaidi muonekano wa mechi badala ya kukisia yule mchezaji ni John Bocco au Okwi kutokana na uduchu wa images na kamera kushindwa kufanya zoom-in kwa kiwango cha kimataifa.
 
Back
Top Bottom