King Mbappe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 1,195
- 2,046
35k kwa mwezi ni sawa na 1,166.6 kwa siku.Wamepandisha nimeshangaa kweli kutoka 28K mpaka 35K. Kifurushi chenyewe nanunua kwa ajili ya watoto na cartoons. Bora kudownload animations waangalie mpaka wakinai
Sidhani kama unashindwa kuwalipia watoto 1,166.6 kila siku waenjoy vipindi vyao.
Nakushauri nunua kibubu uwe unaweka 1200 kila siku. Mwisho mwezi utapata 36k itatosha kabisa kulipia kifurushi.