Azam Tv inapoteza mvuto

Azam hawajawahi kuanzisha biashara ikafa.. Wako vizuri kwenye marketing. Sahau!
 
Write your reply... Azam ni udini mtupu
Dini zoote ni ubaguzi......tafakari kwa kina na wala usikurupuke kunitukana.
Kwa mfano: Non Muslims hawaruhusiwi kuingia Holy city of Maka
Picha za Jesus na hata misalaba hairuhusiwi kupelekwa huko Maka.
Hindus,Chritians nk woote wanataratibu zao,hivyo basi muhimu ni kuheshimiana na kuvumiliana
 
kodi tunalipa.mkuu....tatizo nini ludia tena
 
Hivi, hakuna anayeweza kupambana na Azam, awekeze? Naona kama hawajaamua kufanya biashara hawa jamaa.
 
Kati ya watu waliopromoti Azam TV humu enzi zile nimo. Ila akili ilinikaa sawa na kurejea DSTV bila shuruti na sitaki tena kusikia habari za vingamuzi. Ligi ya ndani haiwezi kunifanya ninunue Azam TV kwanza naangalia vijiweni mechi chache na muhimu.
 
Anaweza.....kinauzwa nadhani 70 wakati azam 100+, DStv bando la chn 19. Angala unapata channel chache lakini mzuri. 160 mnaopenda masinema ya kibongo, wale wa Nigeria 152 sijui Mia hamsin na ngapi, move za kidhungu 139 sijui na 136 etc, taarifa za habar za nje utachoka mwenyewe, wapenda wanyama 182 24/7 angalau kupoteza mda na mambo ya michezo 209/210 na wapenda mieleka current hapa ndio kwao. Kwa kuwa mda wa kuangalia tv sio mwingi nadhani datv Ni best choice. .local channels hamna cha maana , na utamis chochote maana utacipata kwenye magazeti na other means kwenye simu janja yako
DSTV huwezi kuimudu brother kama huna bajeti kubwa.

Kupata channels za sports ni bei ya kununua kisimbusi kingine cha DSTV na unabaki na chenchi [emoji23][emoji23]
 
Aisee mi nilitaka kununua king'amuzi cha Azam maana nimetumia DSTV muda mrefu na natamani kuona radha ya upande wa pili. Kumbe mambo yenyewe ndio hayo...lol
 
Yahani wamekuwa na udini zaidi ya shetani ndo maana waandishi wa habari wa kikristo wamekimbia.
Mimi naona waisajili kama TV ya kidini tujue.
 
Jamaa wana udini sijapata kuona !!
Nyie wagalatia msio na akili tushawazoe kazi kulalamika tu, akili hamna hata za kujiongeza, ngoja sasa nikutajie wafanyakazi wakristo pale azam , mkurugenzi mkristo, msaidizi mkristo, mkuu wa idara ya habri mkristo, mkuu wa michezo mkristo, tido, Charles , patrick , ivona, mbwa nyie
 
Azam ni wadini hadi kwenye michezo .

Uwanja mzima wa azamu mmejaa misikiti nenda chamazi
Hivi nyie wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga? Hivi ulitaka Yusuf Bakhresa ajenge Manisa? Mbona mnalalamika sana aliyekulazimisha kwenda azam complex ni nani? Si uende kwa gwajima
 
Azam ni kwa ajili ya mpira tu hakuna channel nyingine ninayoangalia
 
Kwa Azam hamna taarifa ya habari,tamthilia zenyewe za uongo uongo tu. Naimiss ITV. Kwa sasa azam chanel yangu ni moja tu Tanzania safari (wanyama)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…