Azam Tv inapoteza mvuto

Hao roho zao mbaya tu Nssf haijawahi kuwa na watumishi wengi waislam kuliko wakristo tatizo lao hawataki taasisi yoyote iongozwe na muislam
 
Mkuu sensa ipi ilitaja idadi ya wakristo na waislam katika nchi hi?.
 
Azam kwa sasa laki na elfu 25, dstv kwa sasa elfu 99.Kifurushi Cha chini Cha dstv ni 19k, huku cha azam cha chini ni 10K.Kifurushi cha juu cha azam ni elfu 28, cha dstv ni 169K.
 
Watu wanaosema Azam kuna udini sana na wanatoa sababu wanakosea??
Na wanaosema hakuna udini na wanatoa sababu wanakosea? Embu chukua sababu zao halafu nikupe sababu kwanini hakuna udini upime mwenyewe , wagalatia wana chuki na kupenda kulalamika kwa vitu vyenye mbadala
 
Pamoja na mifano yako ya majina ya kikristo, bado azam wana udini sana. Sio kwenye tv tu, hata biashara zake nyingine. Bakhresa anaingiza imani yake kwenye biashara ambazo wateja wake sio wa din yake tu.
Ningemwelewa angeomba leseni ya kufungua biashara zinazofuata misingi ya dini ya kiislamu. Mwanzoni mimi nilikuwa shabiki mkubwa wa azamfc. Nimeachana nayo kwa sababu ya elements za udini katika uendeshaji wake.
Kitu rahisi ambacho angeweza kufanya ni kuruhusu, kwa mfano ibada za kikristu siku ya jumapili kwa muda mfupi tu. Halafu akaweka sala/ibada ya ijumaa hata siku nzima ya ijumaa.
Kidogo sasa inapokuwa pasaka au krismasi unaona matangazo yenye ladha ya ukristu. Lakini mwanzo, hakuonyesha chochote katika siku hizo muhimu kwa wakristo. Ni muhimu huyu mzee akaangalia hisia za wateja wake kwa ujumla.

Ushauri wa bure tu.
[/QUOTE]
Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe? Mwenzio kaja na vivid example umezikataa halafu unaleta ishu zako mwisho unajijibu mwenyewe, enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga
 
Hivi nyie wagalatia kwanini waongo hivyo? Sensa ya 2012 ilikuwa haina kipengele cha dini ndio maana waislam wakaigomea sasa hizo takwimu umepata wapi?
 
Mbona hiyo salam marehemu kibonde alikuwa anaitumia na hamkulalamika?
 
Acha upimbi huo hakuna anaelalamikia kuhusu wafanyaķazi kuwa wa upande fulani tu kama yupo basi ni mjinga kinacholalamikiwa hapa kuhusu maudhui ya vipindi vina udini kwa sasa
hao wagalatia unaosema wewe ndio waliokuja hapa kuisifia hiyo channel mwanzoni lakini sasa wanaona mambo ni tofauti udini umejaa azam
 
Rudisheni Emmanuel TV,
Haina mkataba wala kulipia, ni Free to Air.
Mimi nilinunua kisimbusi Azam kwa ajiri ya kuangalia hiyo Channel.
Tunakosa ibada Live from Synagogue kila siku toka kwa Nabii T.B. Joshua.
Pamoja yakuwa mnafanya biashara, kumbukeni pia maneno ya Nabii Joshua anapo sema.
" Let Love Lead "
" Love even your enemy "
" Distance is not a barrier "
"Love neighbors as yourself"
 
Hama kwani nani kakulazimisha kutumia azam, acha kulalamika bint
 
Mkuu vipindi vipi Azam ambavyo wanasema nivya udini?, Au maudhui yapi.

Azam one hii channel hurusha movie zote zenye maudhui yasiyo ya kiislam 100%

Azam two hurusha tamthiliya zenye maudhui mchanganyiko.

Sinema zetu( hii nibongo movie)

Azam sport 2 na Azam hd, hizi nizamichezo,Azam extra hii niyamatangazo.

Hizi channel ndio anazomiliki Azam nandio anapanga maudhui yake.Je nilitaka nifaham nichannel zipi ambazo zinamaudhui ya udini.

Maana king'amuzi cha azam kinachannel 99 cha bei ya juu,cha chini kinachannel 40.Katika channel za kulipia.
 
Picha za Jesus zipi? au ulikuwa unamaanisha yule Brian raia wa Uingereza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…