AZAM TV Hiki mlichofanya leo ni Wizi na Utapeli "Live"

Kweli kabisa Shark, leo nimewahi kurudi home nicheki hata gemu moja ya Vpl lakini channel zote hola.

Ligi kubwa zote Laliga, Epl na Seria A zimesimama, hvyo hii ilipaswa kuwa kete muhimu kwa Azam Sports kuuza na kuzipa promo hizi mechi maana wapenzi wa soka hatuna cha kuangalia weekend hii zaidi ya ligi yetu tu!!!

Angalau hata gemu mbili tu zenye utamu mngerusha Lipuli vs Kagera na Mtibwa vs Biashara

Hovyo kabisa...!!
Hapa TFF ndio anatakiwa achukue hatua kwa sababu tayari walishaingia mkataba kwa mechi zote za VPL arushe Azam, hapa atakuwa amekiuka makubaliano.
TFF tuone lile rungu lenu litaishia kwenye vilabu na viongozi au hadi kwa AZAM TV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache kuonesha ligi kuu uone wabaki na wanawake wao kama vitanunulika. Mwanamke anatumia kwakuwa baba amenunua. Tena usiwatetee kabisa kwa ujinga wano tufanyia. Dstv aje achukue Ligikuu kama azamu atabaki barabarani.
mkuu unachosema sio kweli azamu tv soko lao kubwa liko kwa wanawake na zile tamthilia nakumbuka waang aliaji wakubwa wa tv ni wanawake na wamewakamata tayar kwa hiyo usijimwambifai na mpira wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu unachosema sio kweli azamu tv soko lao kubwa liko kwa wanawake na zile tamthilia nakumbuka waang aliaji wakubwa wa tv ni wanawake na wamewakamata tayar kwa hiyo usijimwambifai na mpira wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema kweli hizi tamthilia kwangu ni zinakosesha kutizama mambo yamsingi angalau zingekuwa zinaanza sa3 Yaan Sahv Taarifa ya Habari sitizami tena kutokana na Upinzani mkubwa Ninaopata

Typed Using KIDOLE
 
Back
Top Bottom