Azam tv hawana lolote

Upumbavu walioufanya startimes utawagharimu maisha yao yote, sasa gharama za kubadilisha zitakua za nani? Au hii ni kwa ajili ya wateja wapya tu.


tusubiri tuone

nimenunua kifurushi cha kili hapa chanel zingine zinaonesha fresh na nyingine zinaandika no service mmmhhh kama si maajabu ni nini

the same time the same location eti no service tena zilezile za kili .
 


MLIMANI MBONA HAIPO
au imeondolewa???????????
 

Tv mbona zipo mkuu? Hela yako tu, Samsung smart tv ni mfano mmoja.
 
Mleta mada, yaani huoni tofauti! Mimi nitajiunga na Azam Tv ili nipate hizo chaneli zao za bure, huwezi kuzipata bure hizo channel Star Times.
 

Wewe ndio huna lolote wala jipya
 

kwenye blue hapo mama watoto ataenjoy sana,miye kwenye red hapo haunitoi,at least hawa wamejitahidi kubalance channel zao tofauti na startimes,ila kwa zuku hata draw hawatoi
 
kwa 98% ni sawa na startimes. Kibiashara azam wanatakiwa wajitahidi wawe na competitive na comperative advantage nyingine!
 
tusubiri tuone

nimenunua kifurushi cha kili hapa chanel zingine zinaonesha fresh na nyingine zinaandika no service mmmhhh kama si maajabu ni nini

the same time the same location eti no service tena zilezile za kili .

Tumesema sana kuhusu startimes mi nimewachoka mpaka basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…