umeona tatizo la linchi letu hili?Ndio mambo ambayo watu waliuliza,kwa mfano nikitaka kuangalia ATN lazima niwe na Agape,nakama napenda ITV inabidi niwe na digitek/startimes mambo ya kujaza visimbuzi sebuleni ya nini? Kwanin channel zote 13 zisiwekwe kwenye visimbuzi vyote? Zile 5 ndio free,lakini 8 ziwe za kulipia halafu hao wauzaji wawe wanalipana cheki tu mwisho wa mwezi!!
Mkuu hawa jamaa tulitegemea watakuja na chaneli za maana lakini wameleta zile zile ambazo zipo startimes. hakuna chaneli za movie, sports hakuna, hata dini hakuna halafu monthly payment ipo juu
kuna kitu kilicho nyuma ya pazia ambacho watu hawajakielewa. Tatizo mamlaka zetu zimeingia mikataba ya ajabu kabisa na multichoice inayofanya kisimbuzi pekee kinachoanzishwa nchini kikiwa na michuano ya ulaya ya soka kuwa ni dstv pekee, ambayo ndio hasa kwenye wateja wengi.
Kama unafuatilia mechi yoyote ya ulaya (isipokuwa ya fainali) inayooneshwa ss3 haiwezi kuoneshwa live na atn wenye leseni ya kuonesha mechi moja kwa wiki, au dtv nao wenye leseni ya kuonesha mechi moja ya ligi ya mabingwa ulaya.
Hivyo visimbuzi vingine vinavyoweza kuonesha mechi nyingi (au zote) za michuano ya ulaya huingizwa nchini kiaina aina tu, lakini kwa visimbuzi vinavyoanzishwa nchini ni lazima viwe na mechi chache sana kubwa au zikose kabisa kutokana na mamlaka zetu kuingia makubaliano hayo na multichoice.
kuna rafiki yangu mmoja anayefanya biashara zake norway alitaka kuleta nchini mradi mkubwa wa visimbuzi vyenye channel zote za sky sports,hukuvisimbuzi vyake vikiwa vya kipekee vya mtindo wa kuhamishika kirahisi, lakiniakawekewa ngumu na mamlaka zetu kuhusu haki za kuonesha mechi za ulaya kuwa ya multichoice, akaamua kufuta mradi wenyewe na anaendelea na mambo yake huko norway.mwanzoni nilihisi bakhressa angeweza kuvuka hiki kizuizi kutokana na uwezo wake mkubwa wa ushawishi lakini naye kakwama palepale, ila yeye amefanikiwa kupata haki ya kurusha ligi kuu ya tanzania bara, ambayo hutaweza kuiona live kokote bila kisimbuzi chao, na habari njema ni kwamba wameshamalizana na yanga.
Mkuu wewe mwenye lolote tupe basi chaneli zako.
itabidi mtu utenge chumba kimoja kwa ajili ya ving'amuzi maana kila mtu anakuja na cha kwake
Wakuu Azam Media wametoa chaneli ambazo zitakuwa kwenye kin'gamuzi chao. kwa mtazamo wangu wameshindwa kukidhi matakwa yangu kwani nilifikiri watakuja kivingine lakini chaneli zao ni zile kama za star times.
Swali. Kwa chaneli hizi hawa Azam Tv wana jipya?
Wadau,
CHANELI ZITAKAZOPATIKANA KWENYE KING`AMUZI CHA AZAM TV NI:
FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold
BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours
Euro Channel
MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme
MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV
MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science
MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape
HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now
WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids
CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
K24
KTN
Nadhani channel zao si mbaya sana, kwa kuanzia zinatosha ILA nadhani watapata ushindani mkubwa toka vingámuzi vya TING, DSTV na ZUKU.
Wakuu Azam Media wametoa chaneli ambazo zitakuwa kwenye kin'gamuzi chao. kwa mtazamo wangu wameshindwa kukidhi matakwa yangu kwani nilifikiri watakuja kivingine lakini chaneli zao ni zile kama za star times.
Swali. Kwa chaneli hizi hawa Azam Tv wana jipya?
Wadau,
CHANELI ZITAKAZOPATIKANA KWENYE KING`AMUZI CHA AZAM TV NI:
FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold
BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours
Euro Channel
MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme
MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV
MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science
MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape
HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now
WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids
CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
K24
KTN
TING wana upinzani gani ndugu?
Inategemeana unavyodefine upinzani, hawa jamaa kinachowarudisha nyumba ni element ya kuonekana kwa jamii kama ni Kingámuzi cha kanisa.Hata hivyo napenda kukuthibitishia kwamba watu wengi wanahama Startime kwenda TING. Nakaribisha mtizamo tofauti.ahsante
jamani si ndo wanaanza....? Tuwape muda kidogo. Mwanzo mgumu....
Hiyo element ya kidini wanayo. Mimi nilishatumia Ting nikaachana nao nikaenda Easy Tv,kwa network wako vizuri ila channels hawana kabisa. Vipeperushi vyao vinaonesha wana channels nyingi halafu zinazoonekana ni chache.
Wakuu Azam Media wametoa chaneli ambazo zitakuwa kwenye kin'gamuzi chao. kwa mtazamo wangu wameshindwa kukidhi matakwa yangu kwani nilifikiri watakuja kivingine lakini chaneli zao ni zile kama za star times.
Swali. Kwa chaneli hizi hawa Azam Tv wana jipya?
Wadau,
CHANELI ZITAKAZOPATIKANA KWENYE KING`AMUZI CHA AZAM TV NI:
FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold
BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours
Euro Channel
MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme
MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV
MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science
MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape
HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now
WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids
CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
K24
KTN