Azam TV acheni usanii

Ipo mwenyewe ni mpenz wa hiyo channel pamoja na fine living ila zimehamishwa kwenye kufurushi cha elfu 28,000/= so ukiitaka hiyo discovery science na investigation unalipia 28k...
Mbaya zaid kwenye 23k ya zaman kulikuwa na chanel za watoto nazo wametoa zote zimehamia 28k....yan sasa hivi cha 20k ni kama cha 18k cha zaman
 
Ndugu mteja tumepata malalamiko yako wakati tukiendelea kuyafanyia kazi tafadhali endelea kuangalia channel ya sinema zetu
 
Hata mimi kile cha 18 kimekua. 13 lakini azam sports 1&2 Hamna. Sawa hivi bora niangalie channel ya mapishi tu.
Wamegundua wabongo mnaabudu Simba na Yanga , sasa hivi hizo channel unazipata baada ya kulipa kifurushi cha elfu 20 na kuendelea
 
Watoto wa mama ban....
Kama cha kuandika huna si ufiche ujinga wako bwana mdogo.,unajiita play boy utaweza maisha mnaboa vilaza wa humu.
Sasa wewe katika username zote ulikosa hadi ujiite BIKINI.. Kuwa makin kuna jela bwana mdogo utakaoteshwa sabun
 
Sasa wewe katika username zote ulikosa hadi ujiite BIKINI.. Kuwa makin kuna jela bwana mdogo utakaoteshwa sabun
Tatizo vitoto mmejaa humu ushabiki tu hamtaki kupambana mnadhani maisha kula kwa shemeji na kulala,na kuchati chati tu ovyo!! Pumbaku sana.

Vijitu kama wew uwaga nafukuza na dada yako anaelewa.....fanya kazi mafwi wew!


Sikujibu tena kajinga wew, mnafata fata mikumbo sana.
 
Call centre yao ni pumbafff kabisa, nimehangaika kupiga simu toka alhamisi Nov 26 inaishia Kuniambia 'for English press1, kwa kiswahili bonyeza 2'
Ukibonyeza bado tangazo linajirudia hvyo hvyo, na wakati mwngne namba unaambiwa haipatikani

Nimeshatuma mpaka email lakn wapi, hakuna chochote,,, upuuzi tu

Mnakera sana customer service Azam
 
Azam mara nyingi wakipigiwa wako chap sana kupokea na kutoa huduma ila ikiwa ni ishu ya kuwabana wao (makosa yakiwa kwao) basi utaambiwa subiri weeee mpaka basi halafu wanakuwa kama wamekunote pahala maana ukipiga mara ya pili simu hutauona ule ushapu wa mwanzo bali utaishia kusikiliza kidada cha mtandao tu na options hazifanyi kazi

Wengine wenye tabia ya usumbufu ni watu wa bima ya afya nao (NHIF) yaani wale jamaa ukipiga wako fasta sana kupokea ila ikija ishu ya kusolve sasa duuh yaani kama mtu mwenyewe ndo akili moja waweza kuwatukana kabisa...

Mtu umegharamia madude kibao halafu unayeyushwa then unapiga simu eti simply wanakwambia leo au sasahivi siyo muda wa kazi tupigie saa za kazi tutatue tatizo lako au tukupe namba ya kupiga utatuliwe tatizo lako!

Sasa unajiuliza kwanini namba zipo hewani kumbe siyo muda wa kazi tukipiga wanapokea za nini simu zetu... mpaka leo basi nimekuwa mtu wa kuchukia minamba ya huduma kwa wateja yote inayokuwa na dizaini ya 800... na mitarakimu kibao mingine juu
 
Hawa jamaa naona wameanza usanii fulani,

Mimi ni mteja wa Azam TV na nimekuwa nikilipia kifurushi cha TZS 23,000. Huwa natizama zaidi Channel moja tu INVESTIGATION DISCOVERY. Sasa hapa juzi bei imeshuka kwenda TZS. 20,000.Nimelipa lakini nimeshindwa kuipata hiyo channel, kabla ya kukitekeleza king'amuzi chao,nikataka nipate maelezo toka kwao.

Nimepiga simu kuulizia kama hiyo channel ipo aliyepokea simu kanieleza ndiyo ipo kifurushi cha TZS20000 na akaniambia subiri mpaka simu ilipokatika. Baada ya hapo simu zao either zinadai network bussy au inaishia pale Foe English place One for Kiswahili place Two. Ukipiga usiku wa saa 5 inakueleza kuwa muda wa kazi ni mpaka saa nne usiku.

Nimeandika hapa baada ya kuona sipati majibu kwani nimeandika na Email sijajibiwa ingawa siku nyingine email zinajibiwa kwa haraka.
Kaka kiukweli Azam hawako serious na biashara yao... Nakumbuka hivi karibun waliwatangazia umma kua kuna ving'amuzi vyao vipya vya antenna... Na vifurushi vyao wakavipa majina ya mbuga za wanyama.... Kiukweli mie nilikua interested na hivi ving'amuzi kwakua naishi nyumba ya kupanga siku hitaji kuwa na madishi mengi maan tayari ninalo la dstv... Wakadai kua hivi ving'amuzi vitapatikana kuanzia trh 1.12.2020, siku imefika nimewahi zangu pale buguruni bakharesa tukiwa na wadau wengine... Wanatupa maelezo kua hivi ving'amuzi havipo hadi katikati ya mwezi December na wengine wanatuambia hadi kuanzia tareh 20...
Sasa mimi nikawa najiuliza unawezaje kutangaza biashara wakati mzigo hakuna....
 
Wameanza kuwa matapeli
Call centre yao ni pumbafff kabisa, nimehangaika kupiga simu toka alhamisi Nov 26 inaishia Kuniambia 'for English press1, kwa kiswahili bonyeza 2'
Ukibonyeza bado tangazo linajirudia hvyo hvyo, na wakati mwngne namba unaambiwa haipatikani

Nimeshatuma mpaka email lakn wapi, hakuna chochote,,, upuuzi tu

Mnakera sana customer service Azam
 
Hiki walichofanya Azam kiukweli ni ujanja janja na kuibiana.Maana wanadai wamepunguza bei ila wamepunguza na chaneli.Walianza tukajua Azam itakuwa mkombozi ila wameshaingia kwenye biashara ndiyo uhalisia wao sasa unaonekana.Hiyoo 8000 bei mpya haina kitu cha maana ukilinganisha na wakati unalipa 10,000.
Sasa fatilia mprira hasa ikiwa inacheza Yanga watangazaji na mchanganya picha utagundua kauli za watangazaji ni kama ugomvi na yanga na picha inakuwa haina ubora, kosa wakifanya yanga picha inarudiwa kila upande ngoja wachezewe yanga kama vile hakuna marudio.Azam wanatakiwa watambue ni jina kubwa wamejenga hivo hawana budi kuwa fair ili kuzidi kuimarika katika biashara.

Kweli kabisa ukipiga simu kituo chao cha huduma hawapokei utaishia sikiliza tangazo tuu.

Rudi sasa kwenye madish yao yaani upo Kariakoo mvua inanyesha Tegeta kitu kinaganda huoni picha tofauti na dstv mpaka uone imekata hapo kuna mvua kubwa LNB sijui zina tatizo gani.
 
Back
Top Bottom