Nadhan hua wanakata baada ya wiki tatu kama hujalipia, nijuavo emanuel tv na zingine zinapatikana kuanzia No 1 sio content za azam tv bali zipo ktk satellite inayotumiwa na azam na ni free channels, ukiscan utaona nyingi tu
wamerudisha mkuu Emmanuel TV ila..mmh wamenikatia sauti 😡😡😡Ulipe tu! Lakini mbona Emmanuel tv ipo...??
ili niweze ku-scan ninafanyaje mkuu Lokissa nisaidieNadhan hua wanakata baada ya wiki tatu kama hujalipia, nijuavo emanuel tv na zingine zinapatikana kuanzia No 1 sio content za azam tv bali zipo ktk satellite inayotumiwa na azam na ni free channels, ukiscan utaona nyingi tu
jaman daah wana roho ya korosho sana wemekukatia sauti ...lakin usijal lovely097 mweeh..!!!wamerudisha mkuu Emmanuel TV ila..mmh wamenikatia sauti 😡😡😡
Huko ndio mauaji makubwa ya halaiki 23,500/-, 147,000/= & 219,000/= Tutabania wapi matumizi. Bora Digtech - No monthly chargesnjoo Dstv hizo kero hakuna
Dstv km haujalipia zinabaki CCTV tu na channel namb 100 utaangalia ma trailer cku nzimanjoo Dstv hizo kero hakuna
wamerudisha mkuu Emmanuel TV ila..mmh wamenikatia sauti 😡😡😡
ni chanel namba ngapi?msada plsjaman daah wana roho ya korosho sana wemekukatia sauti ...lakin usijal lovely097 mweeh..!!!
Ashindwa Azam ataweza Dstvnjoo Dstv hizo kero hakuna
nenda other channel then utaikuta imeandikwa muvi Emmanuelni chanel namba ngapi?msada pls
MUVI CHANEL KWANN WAMEANDIKA HVYOnenda other channel then utaikuta imeandikwa muvi Emmanuel
Hilo nafikiri ni neno lenye maana fulani hivi kuna muvi bakadoli =cartoon muvi nyimbo music channels muvi muvi = movies channel nadhani muvi emanuel wanamaanisha emanuel chanels .sijui kimalawi au kimsumbiji hiki!MUVI CHANEL KWANN WAMEANDIKA HVYO