Ww unamtafutia mwenzako pressure na visukari vipande kama kashindwa kulipa elfu 12 hiyo DSTV ataweza kuilipia mkuunjoo Dstv hizo kero hakuna
ngoja nikazane nijiunge na dstv...SIJUI ITAKUA LINI MKUU?🙄🙄🙄njoo Dstv hizo kero hakuna
za bure zipo tu Sio ving'amuzi vyote channel zote hulipiwa...Unanunua king'amuzi ukitegemea channel za bure.......lipa ww
usiogope kawaida tu..nivizuri ukizoea vitu vizur mapema kuliko kuja kuviona muda umeshakwendangoja nikazane nijiunge na dstv...SIJUI ITAKUA LINI MKUU?🙄🙄🙄
Samahani mkuu hivi azam hivi hua wamakata channel zote pia usipolipia?!Azam cheap compared na dstv ambao wanakata zote isipokua cctv channels
Mkuu samahani nomba unielekeze njinsi ya kuscani Ili nipate hizo chaneliNadhan hua wanakata baada ya wiki tatu kama hujalipia, nijuavo emanuel tv na zingine zinapatikana kuanzia No 1 sio content za azam tv bali zipo ktk satellite inayotumiwa na azam na ni free channels, ukiscan utaona nyingi tu
hahahahusiogope kawaida tu..nivizuri ukizoea vitu vizur mapema kuliko kuja kuviona muda umeshakwenda
Orders from above....sort of remote control or navigatorAzam acheni makwazo, ndio nini kutukatia channel zote na kuacha TBC peke yake? toka lini clouds TV au ITV ikalipiwa acheni roho mbaya.
Sio vyema mfanyavyo na cha kushangaza zaidi channel ya Emmanuel TV jina mmeacha ila content Sio inaonyesha ni channel nyingine inaitwa clear TV.
Mnamakwazo kweli nyie watu, Mturudishie channel mlizozifuta na mrudishe Emmanuel tv..😡😕