Azam na Dstv nani Bora zaidi?

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
525
1,100
Salam,

Nimeshanunua Dstv na Bado sijaifunga mpaka next week. Ila Bado napata utata mpaka nawaza nibadili gear ninunue decorder ya Azam Kwa namna raia wanavoiponda Dstv.

Wanadai kwamba Dstv inaganda na wanarudia rudia vipindi sana.

Ushauri wenu, Dstv na Azam nani zaidi ?
 
Mkuu angalia uwezo wako na mahitaji yako huyo anaesema wanarudia vipindi inamaana ana muda mrefu wa kukaa tu sitaki kusemea nafsi ya mtu ila fuata kilicho bora yupo ataponda azam kwa mtazamo wake ila wanajitahidi kutoa makala na vipindi bora kulingana na dunia ukiona mtu analalamika basi haendi na mfumo wa dunia alafu mchunguze utamuona ni mbwa mimi nipo paleeeee
 
Sawa
 
Back
Top Bottom