ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 20,884 Reaction score 77,146 Jan 6, 2024 #41 AZAM nafata mpira tu, tofauti na hapo wana upuuzi mwingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....
Limbalangule Senior Member Joined Jun 14, 2023 Posts 136 Reaction score 270 Jan 6, 2024 #42 moudgulf said: Weka zote mbili. Kuna wakati utahitaji vipindi vya DStv na kuna muda Azam utaikunbuka. Click to expand... Ushauri mzuri,wakati wa kulipia unaangalia tu wapi Kuna matukio Muhimu ndo unalipia,kama mfuko unaruhusu unalipia kote.
moudgulf said: Weka zote mbili. Kuna wakati utahitaji vipindi vya DStv na kuna muda Azam utaikunbuka. Click to expand... Ushauri mzuri,wakati wa kulipia unaangalia tu wapi Kuna matukio Muhimu ndo unalipia,kama mfuko unaruhusu unalipia kote.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,456 Reaction score 196,166 Jan 6, 2024 #43 Wote wanajitahidi...