Tatizo ni uelewa wenu ndio shida. Hapo tunazungumzia biashara ya Azam inahusianaje na utani na kebehi za Simba na Yanga?Leo mnaumia, kwa zamani alivyokuwa akiiponda Yanga mbona mlikaa kimya, mmemlea wenyewe huyo ,kwenye page yake Yanga alikuwa anaita Utopolo, vumilia tu ndugu yangu kama mashabiki wa Yanga walivyokuwa wakivumilia wakiitwa Utopolo na bado walikuwa wakilipia na kununua ving'amuzi na uwanjani wanaenda kwa wingi.
Hujawahi wewe kuwa na biashara hata ya madafu wewe! Vinginevyo ungeelewa maana ya muuzaji wako kuchanganya ugomvi wake kwenye biashara yako athari zake niniWeee Kolo leo ndio unaona hizo ethics?tulia dawa iwaingie na ndio mjue malipo hapahapa....Yanga likuwa 8nawauma hivyohivyo kwa muda wote aliokuwa kwenu Makolokolo Fc.
Kipindi alipokuwa akitukana Yanga, hakuwa balozi wa Azam?Tatizo ni uelewa wenu ndio shida. Hapo tunazungumzia biashara ya Azam inahusianaje na utani na kebehi za Simba na Yanga?
Wanaoelewa ethics za biashara wanaelewa nazungumzia nini.
Mnaumia huyo tabia yake mmeilea wenyewe kupindi akiita Yanga Utopolo,vumilieni tu.Hapana muacheni tu,dawa yake atapatiwa j'mosi ndo atajua kama Yanga awapendagi ushabwadu wa kingese.
Azam ndio anajua mkataba alioingia na Manara, yaye ndio anajua faida na hasara ya anachofanya Manara.Hilo neno halina shida kama vile neno Utopolo. Lakini kuna haja ya kuliingiza hapo kwenye biashara ya mtu mwingine?
Utani wa Simba na Yanga iweje uathiri biashara ya mwingine?
Kumbe unaelewa kma ni utani...bac utani uendeleeTatizo ni uelewa wenu ndio shida. Hapo tunazungumzia biashara ya Azam inahusianaje na utani na kebehi za Simba na Yanga?
Wanaoelewa ethics za biashara wanaelewa nazungumzia nini.
Nakushangaa hata wewe umeshindwa kuelewa mantiki ya hoja.Azam ndio anajua mkataba alioingia na Manara, yaye ndio anajua faida na hasara ya anachofanya Manara.