AZAM mnapoteza kuwa na Balozi kama Manara. Hajui Ethics za Biashara

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,678
2,000
Mwache haji ajitafutie riziki yake, hao waliompa mkataba walishajua itakua hivi na wakampa mkataba, tuache roho za husda.
Watu wasiyo na ujuzi wa kitu fulani wanasumbua sana mbele ya wenye ujuzi.

Huyo huyo anaweza kukupa mpangilio wa kutumia 10,000 kibiashara kuliko anayefanya biashara.

Huyo huyo akiwa jukwaani anamwambia mchezaji kwa kelele ungepiga hivi ungefunga, hufai weweee!.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
7,726
2,000
Manara atawaharibia hao Azam, anashindwa kujua muda gani aiponde Simba na muda gani awe neutral, akiwa anatangaza biashara ya Azam LAZIMA awe neutral, vinginevyo atawaharibia Azam biashara, na nyie wote mnaomtetea kisa aliwahi kuwa Simba SC akaiponda Yanga mna judgement ya kitoto sana.

Lazima Manara awe professional kwa manufaa ya kulinda kibarua chake Azam.
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,068
2,000
kuna wabongo hawatumii kabisa akili. Hivi usahihi unalinganishwa kwa ulichowahi kufanya nyuma?au unalinganishwa na facts?
Leo mnasema hivyo ,nyinyi kipindi kile cha nyuma, mlikuwa hamtumii akili na ndio maana kila alichofanya mlikiona cha maana au hamkuwa na akili kabisa.
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
35,655
2,000
Leo mnasema hivyo ,nyinyi kipindi kile cha nyuma, mlikuwa hamtumii akili na ndio maana kila alichofanya mlikiona cha maana au hamkuwa na akili kabisa.
Tumia akili bro,makosa hayawezi kuhalalishwa kwa kufanywa na mashabiki wa Simba! Halafu hapa hatuongelei ushabiki wa mpira,tunaongelea weledi na marketing
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,068
2,000
Tumia akili bro,makosa hayawezi kuhalalishwa kwa kufanywa na mashabiki wa Simba! Halafu hapa hatuongelei ushabiki wa mpira,tunaongelea weledi na marketing
Kaka leo unaongea hivyo wewe khaaaa, kule jukwaa la sports kipindi Manara yupo Simba mmlikuwa mnamuona kama nabii aka Kiboko ya Yanga, kila alichokuwa anakifanya mnamsifia.

Sasa uweledi wa marketing anaye ujua ni Bakheresa na ndio maana yupo nae,wewe vumilia matusi kama kipindi kile ulichokuwa ukifurahi Manara akiitukana Yanga.
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
35,655
2,000
Kaka leo unaongea hivyo wewe khaaaa, kule jukwaa la sports kipindi Manara yupo Simba mmlikuwa mnamuona kama nabii aka Kiboko ya Yanga, kila alichokuwa anakifanya mnamsifia.

Sasa uweledi wa marketing anaye ujua ni Bakheresa na ndio maana yupo nae,wewe vumilia matusi kama kipindi kile ulichokuwa ukifurahi Manara akiitukana Yanga.
narudia tena kama huelewi basi una shida kichwani. Unalinganisha usahihi wa kitu kwa kuangalia facts au mimi niliongea nini kuhusu yeye?! Nivumilie matusi yapi. Mimi najua Haji ni mwehu na ndio sababu ya kufukuzwa Simba. sasa ukijua mtu ni mwehu kuropoka kwake kutakupa shida?
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,068
2,000
narudia tena kama huelewi basi una shida kichwani. Unalinganisha usahihi wa kitu kwa kuangalia facts au mimi niliongea nini kuhusu yeye?! Nivumilie matusi yapi. Mimi najua Haji ni mwehu na ndio sababu ya kufukuzwa Simba. sasa ukijua mtu ni mwehu kuropoka kwake kutakupa shida?
Ndimi mbili.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,869
2,000
Nimeshangazwa sana na aina hii ya tangazo la biashara ya vifurushi vya king'amuzi chenu kutoka kwa munayemuita balozi wa AZAM.

Unatangazaje bidhaa ya Azam kama vile bidhaa hiyo ni mali ya Yanga hivyo unaiponda Simba? Huwezi kuwajulisha watu wanunue kifurushi hicho huku unawakebehi Simba na kuwaita Makolo wakati nao ni miongoni mwa watumiaji.

Hivi mpenzi wa Simba atajisikia vyema kununua bidhaa za Azam kwa kebehi hizo za Manara anazo changanya katika biashara ya Azam?

Huko ni kuyokujua ABC za kibiashara, Manara amekosa Ethics za kazi yake nadhani kwa vile hana elimu na kwa kampuni kubwa kama AZAM hiyo ni miscalculation ya hali ya juu sana. View attachment 1949452
Mtanzania hana akili. Hata akitukanwa bado atanunua. Tena ndiyo atanunua zaidi.
 
libeva

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
3,426
2,000
Hilo neno halina shida kama vile neno Utopolo. Lakini kuna haja ya kuliingiza hapo kwenye biashara ya mtu mwingine?
Utani wa Simba na Yanga iweje uathiri biashara ya mwingine?
Sasa huo utani ndio uliompa shavu mwe
 
Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
2,982
2,000
Mnaumia huyo tabia yake mmeilea wenyewe kupindi akiita Yanga Utopolo,vumilieni tu.
Kuna watu kuwaelewesha, labda mpaka wapasuliwe kichwa.
Mleta thread ameongelea biashara, ambayo Manara sio yake. Hiyo, inafanana na alivyoyaficha yale maji ambayo ni ya wadhamini wa Yanga, kwenye mkutano ambao haukuwa wa Manara bali ni wa Yanga. Huyo akiachiwa, ataharibu mambo mengi, kwa faida yake binafsi.
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,068
2,000
Kuna watu kuwaelewesha, labda mpaka wapasuliwe kichwa.
Mleta thread ameongelea biashara, ambayo Manara sio yake. Hiyo, inafanana na alivyoyaficha yale maji ambayo ni ya wadhamini wa Yanga, kwenye mkutano ambao haukuwa wa Manara bali ni wa Yanga. Huyo akiachiwa, ataharibu mambo mengi, kwa faida yake binafsi.
Kipindi alipokuwa akitukana Yanga, hakuwa balozi wa Azam?

Maswala ya biashara ya Azam Bakheresa anayajua kuliko wewe na anayajua tokea Manara alipokuwa akiitukana Yanga na hajawahi kumtoa ukiona hivyo Bakheresa anaijua faida ya Manara kuwa balozi wa Azam.

We vumilia mwenye biashara yake kishamkubali kama balazi wabidhaa zake za Azam.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom